Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Ni sawa na chadema ni zaidi ya ugaidi, mpaka imesababisha mwandishi wa habari kuuawa, hujui unachokisema, inaonesha una chuki fulani dhidi ya uamsho! Kama watu kudai haki yao ya msingi ni ugaidi basi hata chadema ni magaidi ! acha kukejeli vikundi vya kiislamu vinavyodai haki zao.
Nashangaa sana humu JF, mada ikiletwa ya waislamu wengi wa watu ambao ni chadema hugeuka na kuanza kutoa kejeli, juzi chadema imeandamana hamna lililosema! inaonesha jinsi mlivo na chuki na waislamu, na nawaambia msahau kabisa kuchukuwa hii nchi! tutahamasiaha waislamu wa nchi nzima WASIKIPIGIE CHADEMA, lbad kina Mohammed Mtoi ndio mtakaowapata.
Aliekudanganya kuwa kuna dini inayoweza kutoa RAis peke yake bila kupigiwa kura na watanzania kwa ujumla ni nani???.......Kama ni hivyo Hao CUF waNgeshashinda urais....Lakini hata wakati wa mkapa tena mkristo.....na akawa Kati ya mgogoro wa mwembechai uchaguzi ulzifanyikaa na Hao CUF waliohamasichana wakapigiwa kura na watu wa dini moja na wakiwa ngangari kweli waliambilia 8% ...mkapa 77% .....Hilo likawa funzo kubwa kwa wanaofikiri dini Yao inaweza kuweka Mtu ikulu peke Yao ....