Dar Lux kapotezwa?

Ukifatwa na bank ukope ni mtego usikope,Boss wangu na bro wangu dam alikua na mzunguko mkubwa vile vidada vinavyoshawishi watu kukopa vilikua vinamshawishi sana akakopa milion 100 alafu baada ya mwaka biashara ikayumba vibaya sana akaishiwa kabisa.

Saiv anaogopa mkopo wa bank kuiko chochte
 
Na vikishafanikiwa kukushawishi vinakuwa vikauzu
 
Hii biashara lazima uroge sana na uwe mfuatliaji mzuri wa hesabu za kila siku

Juzi nimepanda BM nilikutana na ujinga wa huduma ndani ya gari

Hii biashara pasua kichwa sana na naona mchina ameshajihakikishia soko lake la mabasi

Una billion 5 kwanini usiweke UTT Amis au ukanunua Bonds Benki kuu au taasisi za fedha halafu hiyo faida ya kila miezi sita ukaanza na basi mbili tu kama unapenda kuwekeza katika usafiri wa mabasi
 
JAMBO LA KUJIFUNZA, ALITHUBUTU NA ALIWEZA KUANSIAHA BIASHARA KUBWA.
KWAMBA SISI TUONAO MJADILI HAPA TUFANYE MAKUBWA ZAIDI YAKE.
 

Hekima umenikumbusha mbali sana kiongozi hasa ile chata nyuma miaka hiyo hakuna cha Tochi wala VTS
 
Hakika BANK haipo kwa ajili ya kusaidia mtu
Utafika mbali wanaoendelea ni wasio na mikopo unakuwa na real capital

Y'all don't know how money works. Endeleeni kudunduliza hadi siku mpate mtaji wa 10M USD in your lifetime. Kama unataka kuscale up your business utaenda bank mwenyewe.
 
Huyu itakuwa alijambiwa na fisi. Barabarani kuna mafisi. Kuna watu usipowaona huwezi kutoboa.

Hata sauli nae anaelekea huko.

Mfano ww jiulize kwanini Tanga miaka yote majina na wamiliki ni wlewale
 
You have good financial literacy
 
Abood na Shabiby ndio wakongwe pekee waliobaki, zaidi ya miaka 25 kwenye game. Na wanazidi kushusha vyuma vipya. Wakongwe wengine wote walishatupa vitaulo
Sio huyo tu mkongwe ,wapo wengine wengi ni kwamba mmekariri hao tu
Kuna mtu anaitwa Zuberi yupo kanda ya ziwa , huu ni mkongwe kwenye hii game kuliko hata hao akina Abood na Shabiby
Na ana convoy ya magari yanaenda Dar ,Kahama ,na sehemu nyingine
Yupo miaka mingi mno kwenye hii game na anafanya poa tu na anazidi kutanuka kila siku na
Hii biashara inahitaji strategy , ukitenfengeneza strategy yako na ikatick basi utatoboa tu
 
Abood na Shabiby ndio wakongwe pekee waliobaki, zaidi ya miaka 25 kwenye game
Hawa ni wajanja . Wamejiingiza kwenye Chaka la ufisadi (ccm) ni wabunge. Hivyo kuna tozo na Kodi wanakwepa kwa nafasi zao.

Wamiliki wa mabasi wote wanakiri kwamba ukitekeleza maelekezo yote na taratibu zote za serikali ktk Kodi na tozo mbalimbali mabasi hayana faida.
 
Sawa mkuu mwongeze kwenye list
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…