Mkuu unaloongea unauhakika nalo? Kwa kaskazini now ni kilimanjaro ameaminika sana dar express ilikua miaka 7 nyuma uko kampuni imekufa iyo inaendeshwa kilocal sana baada ya kukabidhiwa mwanamke , magari mabovu yana haribika customer care mbaya uwezi sema kampuni imemantain uku inarekodi mbaya kilimanjaro kila kukicha anazidi kuwa bora apo shekilango now anaujenzi wa hotel yake na jengo la abiria vp dar expess ofisi ni ile ile tena mbovu mbovy , kilimanjaro anahotel yake korogwe vp izo kampuni zilizo anza? Si bado wanalisha kwenye mahotel ya watu kwa ufupi ni kua kilimanjaro anahuduma zinazo shabiliana na scandnavia ya kipindi icho anajua what people want
Jana nimeondoka na gari ya saa 12:50 zilikua ni zaidi ya gari 10 zinatoka Dar tofauti ya dk 5 kwa kila bus je kuna kampuni kaskazini inapeleka gari zaidi ya 10 Arusha na Kuleta dar gari zaidi ya 10 tofauti na kLM jibu ni hapana
Kwangu
1.KLM
2.BM
3.Marangu coach
4.Dar Lux
5.Kidia One
View attachment 1295432
Vyuma apo ni korogwe kwenye hotel yao