Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Umesema kwel..juzi nimekutana nalo nikajiuliza maswal mob sana mbona muda huu?!duh .!nadhan ht jana limelate kutoka dar !
Ndiyo... Na mimi nilikuona nikakupungia mkono manengelo

Anyway nilidhani ni emergency ya basi moja, nikashtuka kusikia na la bukoba lina shida same day, sasa huu uzi ndo umenipa mashaka na ubora wa hayo mabasi. Kama si mwendo wao wa kinyonga, tungeshuhudia maafa japo hatuombei.
 
Kumbe ndo ww uliyevaa suruali ya kitambaa cha chifon nyeupe🤣!safi sana mkuu!wajitahid kubadilika kwakwel
 
Hilo tatizo sio mara ya kwanza.Nilikiwa natoka mwanza kuja DAR nafika wanasema gari haina betri konda alisahau kuzima TV usiku nikashangaa sana.

Then tatizo lao kubwa hawana magari ya akiba yani linalotoka safari ndiyo hilojilo linalogeuza hata kama likiingia usiku saa 9.

Washaanza kupoteza uelekeo.
 
hayo mabus labda ya uko kwenu ndo yamechoka kutokana na umbali wa safari, DAR LUX za kwenda moshi/arusha ni noumaaa yana bei ya juu lkn ni shidyaaa yanapendwa na watu haswa na ukipata unafika kwa muda mzuri
 
Kumbe ndo ww uliyevaa suruali ya kitambaa cha chifon nyeupe🤣!safi sana mkuu!wajitahid kubadilika kwakwel
Mi sio msukuma
Kumbe ndo ww uliyevaa suruali ya kitambaa cha chifon nyeupe🤣!safi sana mkuu!wajitahid kubadilika kwakwel
Mi sio msukuma ujue... Yaani ulivyonielezea vibaya, nimejiona kama nipo mnadani nakula muwa, kando ya baiskeli yangu yenye tairi za rangi ya orange...

Siku nyingine sikupungii mkono ihiiiii... Au sasa itabidi nipande "nyu fosi" ili nisikuone.
 
Watu wanashindwa kutambua mfumo wa kuhudumia wateja vizuri huathiriwa na matatizo ya kuharibika kwa magari!
Magari yanaharibika kwa sababu:

DEREVA MBAYA; Anaendesha gari bila kujali kanuni za gia,breki n.k yeye anawaza tu chombo mpya inakubali mwendo..
MAUDHURIO YA UKARABATI; Gari haipelekwi gereji kwa ajili ya matengenezo kwa muda sahihi. Mfano gari inapaswa kuwa gereji wiki hii wewe unaipeleka wiki ijayo na bado unaitumia kwenye route

FEDHA NA GHARAMA; Fedha haitolewi kwa wakati kufanya utatuzi wa maswala ya ufundi pengine kwa sababu ya gharama kuwa juu au mapato yameelekezwa katika maswala mengine.Mfano kulipa mkopo,faini,kodi,malimbikizo ya posho n.k.

UKISAFIRI SHUKURU UMEFIKA SALAMA..
 
Kama unasafiri mwz - dsm

Chagua chombo kati ya hizo hizo Tungi's , Allys , happy nation mpya,

Kama umekalili kupanda darlux pole sanaa kwa safari ya mwz - dar tegemea kufika kuanzia saa tisa au alfajir kabisa

[emoji3]
 
System yao ya booking haifanyi kazi ila hawajatangaza... Inaweza waingiza watu hasara. I was almost done through system ila nikakumbana na tatizo dogo ndo nikapiga nashangaa wananambia haifanyi kazi.
 
Back
Top Bottom