Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

81894934_578933799551012_7413646678596517888_n.jpeg
 
Haya lingine tena la kutoka Dar Mwanza limezingua tena kabla ya kufika Morogoro. Jamaa hata spana hawana wanapiga simu waletewe kutoka Moro.
 
Na hapa basi namba mbili (ya mbele) ikiwa imesimama ili kutoa msaada kwa basi namba moja ambalo limepaki kutokana na kupata hitilafu kabla ya kufika mizani ya Usagara

Yawezekana uongozi wa kampuni hii hauna taarifa kama hizi maana jamaa kwa jinsi walivyokuwa wakitoa huduma zao sidhani kama kweli wahusika wakuu wana taarifa hizi

DAR LUX ni moja kati ya makampuni bora kabisa kuwahi kutokea katika sekta hii ya usafirishaji wa abiria so wakiweza kuondoa hizi kasoro ndogo ndogo hasa za uchakavu wa mabasi yao bado wataongoza katika sekta hii kwa mda mrefu sana.View attachment 1282156
Hebu angalia pia na Hali ya Hilo barabara lilivyochoka...
 
Speed 100 ya gari ndogo kwa uelewa wangu sio sawa na speed 100 ya bus.
Mzunguko wa tairi wa hilo bus ni mkubwa
Pili nguvu ya engine
Kapitie upya concept ya speed in physics mtandaoni.....speed daima ni constant kwa vyombo vyote...liwe tractor, gari ndogo, au semi, au Caterpillar kama wote wanatembea 100km/hr basi ni kwa wote.

Hayo mabasi huwa ikifika usiku nadhani kuna namna wanachezea hizo VTS na tochi zinakuwa hamna..so wanamwaga moto tu.
 
Abood hawezi kuwa na msaada kwa dar lux, alipo abood ni hot cake kwa biashara ya basi kwa maana ya , route fupi, na very busy,
Kwa route ya dar Moro ambayo ndo msingi wa biashara ya abood, Hakuna basi inakaa barabarani Zaid ya masaa manne mfululizo! Hii inampa muda mwingi sana wa kuziangalia na kufanya maintanace basi zake

Hiyo dar lux ikiwashwa mwanza inakuja kuzimwa dar usiku Sana na kesho Tena, Kiufupi unahitaji team compitent Sana kumaintain Gari ya namna hiyo
Scania ndio zinaenda ruti ndefu michina ndio anaifanya ruti fupi, lkn kikubwa ni kuzingatia ubora wa service tu, wakali wa services ni Abood na Kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom