google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,629
- 13,694
Ndo rahaa ya kuwa mwanafamilia wa JFJF huwa nacheka hadi hapa home wanasema nimeanza kuwa chizi
Ndo rahaa ya kuwa mwanafamilia wa JFJF huwa nacheka hadi hapa home wanasema nimeanza kuwa chizi
Muongo nawe ngoro kanteDem wa Arusha ukimtongoza anakuuliza una sh. Ngapi, ukimjibu elfu 20. Anakuambia hiyo haifai
Muongo nawe ngoro kante
Nani huyo kakuudhi tena ,atajuta maana ntakuletea hadi ya nyongezaNiletee radi ya buku ukirudi nna kazi nayo mkuu
sawa Dada!sawa mdogo wangu zimefika nawe wasalimie kule ukifika
Kigoma kuna sehemu inaitwa Nyarubanda aisee huko wanakuita utusini watoto wazuri warefu wenye asili ya kitusi sema tatizo ni wachafu wachafu..wakioga na kupiga pamba kama za wadada wa daslam ni hatariNimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.
Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
Continue to be wife material Saint anneOh sawa.
Nitakae oa atakua nayoLaziada ulilisaha. Wanawake wa Dar 90% hawana Marinda
Haya akhsanteContinue to be wife material Saint anne
Tutaamini vipi?Hata huku mkoani tupo sema tu hatupendi show off
Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Kabisa ni chaguo lako tuuDar kuna wanawake wakila aina ukitaka wastaarabu wapo micharuko wapo , wanaouza wapo niwewe mwenyewe tu na chaguo lako, ukita wanawake wanaofaa kuoa wapo dar nikama dampo limekusanya vitu vibaya na vizuri visivyo faa kwa matumizi na vinavyo faa kwa matumizi.
Haaaaaa hahahaHuna lolote kwanza una sura kama babako.
Hahahaa hata mkuuHukakosea dar kuna mademu bomba sana...unaweza hama bar 10 zote zina mademu wakali balaa mpaka ukajiuliza waliojenga walikhanisiwa au
Huo mda wa kuwaaangalia wanawake unaupata wapi embu naomba tuanzie hapo kwanza