Wanawake wa Dar es Salaam leo mmetisha sana

Joannah

JF-Expert Member
May 8, 2020
18,453
42,572
Habarini.

Leo 8 March Siku ya Wanawake Duniani jamani wanawake wa Dar es Salaam mmetisha sana. Nyie Watu wapendeza jamani, kila aina ya kitenge kilikuwa hapa leo, Wakinga wa Kariakoo hakika watakuwa wamefurahi sana.

Wanawake wamevaa wenyewe vitenge vyao vya sare kwa makundi makundi hiyo mishono sasa, uwiii ni mizuri hatari.

Leo kila mtu alikuwa na viatu safii kabisa wengi wakiwa kwenye high heels zao, hizo style za nywele sasa wachaa weeee, kuanzia lowcut, dreads, yeboyebo, weaving, n.k, na hamkusahau tu simple make up, nyieeee!

Jamani kwenye viunga vya Anatoglu mlijua kuonesha kweli ni siku ya wanawake, yaani kila nikiwaangalia walivyopendeza nikawaza hivi wale wanaume wa JF wanavyochambaga wakifika hapa kuwaona hawa si wataomba msamaha kabisa?

Jamani Heri ya Siku ya Wanawake, hakika mkifa msioze❤️❤️❤️.

Hopefully na wenzetu wa mikoani mmetuwakilisha vyema.
 
Habarini.

Leo 8 March siku ya wanawake duniani jamani wadada wa Dar es Salaam mmetisha Sana,,Nyie Watu wapendeza jamani,kila Aina ya kitenge lilikuwa hapa leo,wakinga wa Kariakoo hakika watakuwa wamefurahi Sana, Wanawake wamevaa wenyewe vitenge vyao vya sare kwa makundi makundi hiyo mishono Sasa Uwiii!Ni mizuri hatari
Leo kila mtu alikuwa na viatu safii kabisa wengi wakiwa kwenye high heels zao,hizo style za nywele Sasa wachaa weeee,kuanzia lowcut,dreads,yeboyebo, weaving,n.k ,Na hamkusahau tu simple make up,...nyieeeeeeee

Jamani kwenye viunga vya Anatoglu mlijua kuonyesha kweli Ni siku ya wanawake..,yaani kila nikiwaangalia walivyopendeza nikawaza hivi wale wanaume wa JF wanavyochambaga wakifika hapa kuwaona Hawa si wataomba msamaha kabisa?

Jamani HERI YA SIKU YA WANAWAKE HAKIKA MKIFA MSIOZE❤️❤️❤️
hope na wenzetu wa mikoani mmetuwakilisha vyema
Weka picha mkuu, leo wameosha VISIGINO na kuvaa viatu? au bado wapo na visendo vya mchina
 
Back
Top Bottom