Umeona chalii ya r , sio wagumu kama wa r chuggaHabari ,,,Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? ,,,Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni
1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha
Hawa wanatoka wapi?
Kwa hiyo dar hakuna mchafu hata mmoja?Hata wachafu wapo sana,
Wife material haujambo?Kwa hiyo dar hakuna mchafu hata mmoja?
Duh kwa kweli,usingoje kusifiwa jisifie tuUmewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Ulijuaje??Wife material haujambo?
Na wewe brother unatuponda wa mikoani?Duh kwa kweli,usingoje kusifiwa jisifie tu
MhmhmhmhAisee taratibu mdogo wangu
Watu weusi tupo wengi tu[emoji28]
Kama hawa..View attachment 1225176
HahahahaIla dar Toto's zpo kweli tatizo mikoani wana polygon shape
Hahaha kizuri ni kula na wenzakoMkuu picha ya demu wangu imefikaje jf?
Wachache sana nao uchafu wao ndio usafi wa watu wa huko mikoaniKwa hiyo dar hakuna mchafu hata mmoja?
Ohoo sawa.Wachache sana nao uchafu wao ndio usafi wa watu wa huko mikoani
Nafatialiaga michango yako!!Ulijuaje??
Sijambo... mzima wewe?
Umefwatilia tangu lini?Nafatialiaga michango yako!!
Tangu julyUmefwatilia tangu lini?
Nenda Arusha wewe haswa msimu wa baridi kila demu mzuri.Nenda tanga wewe upate anayejua mahaba hutatamani kurudi darHabari ,,,Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? ,,,Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni
1. Wazuri sana
2. Wanajuwa kupika
3. Wanajuwa mambo ya 6*6
4. Wasafi
5. Hawana malingo ya kipumbuvu
6. Wanajituma kwenye shughuri za maendeleo
Wako tofauti sana na wa kule kkwetu Arusha
Hawa wanatoka wapi?
Hapana siwapondi ,nachotambua ubora na uzuri wa mwanamke hauangalii mkoa anaotokea, mikoani mbona wapo warekbo wengi sana, na hao wa dar wengi wametoka mikoani,Na wewe brother unatuponda wa mikoani?
Number..Tangu july