Dar kuiaga foleni rasmi

Dar kuiaga foleni rasmi

Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Miradi ya kwenye makaratasi mbona ipo mingi tu sisi tunataka utekelezaji. Rufiji HEP upo kwenye makaratasi tangu awamu ya kwanza lakini utekelezaji unafamywa na JPM.
 
Mkuu nchi ya mwisho kupata uhuru kusini mwa bara la Africa ilipsta 1980 miaka 40 iliyopita
Sijui kama ulisoma historia ya Afrika mashariki. Tanganyika ilipopokonywa kwa ,Mjerumani baada ya vita kuu, na kupewa mwingereza.

Hakuna ujenzi wowote wa kujenga nchi ulioendelea kwa kuhofia muda wowote atatakiwa kuirudisha UNO.

Kwa ufupi tunawezasema maendelea ya kenya yalichangiwa na rasilimali Mwingereza alizoiba Tanzania.

Habari ndo hiyo
 
Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Think deeper my friend.

Kama umevutiwa na mradi wa Ubungo interchange, mpe gwara Magu, coz haijalishi nani alitoa wazo ila mtekelezaji ana point nyingi.

Magu yupo kwenye position ambayo anaweza kuvunja mawazo ya wengine na kuweka yakwake, mfano ni Bagamoyo port project ambayo ni wazo la kikwete.

Kama Ubungo interchange lilikuwa wazo la Mrisho, basi tambua kuwa Mrisho alishindwa kulitekeleza. Amekuja John akalipitia na kulifanyia marekebisho na hatimaye analitekeleza.
Usione gere kumsifia, we sifia tu.
 
Inaitwa Thika road mkuu.nadhani ndo barabara bora Africa mashariki
Bwana weee ukiwa thika road yani
N kama unapaa unakanyaga 150kph
Na unaona n kama hutembei

stidy
 
Mkuu, ka Nairobi ni sawa tu na wilaya moja ya Kinondoni kati ya wilaya tano za jiji la Dar.
Wacha kufananisha Dasilama na vitu vya kijinga!

Just imagine, miundombinu yote na maghorofa yote na majumba makali yote ya Ilala, Temeke, Kigamboni na Ubungo uweke kwenye wilaya moja tu ya Kinondoni.. Dar si itakuwa zaidi ya Dubai?
Hyo wilaya yenu ya kinondon
Imepga hatua gani hata Moja
Kama hata stand ya mabas ya maana
Hamna??

stidy
 
Hii ndio interchange mliyokuwa mnaonyeshwa kwenye kideo?

Ama kweli Tanzania akili huwa hazipo mnafurahia kabisa mnaonyeshwa ghorofa kama kobe mnajengewa linalofanana na bata Mungu wangu
Binafsi natambua kuwa ramani ilibadilishwa japokuwa ile ya mwanzo ilikiwa nzuri sana kuliko hii ya sasa.
 
Mkuu sijafika Angola kwa ujumla Ila najua Luanda is among the top six largest cities in Africa.Lakini pia Angola Ina mafuta probably na watu wenye akili kuliko bongo
large in terms of??
 
Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.

Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71

Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Mkuu hiyo si interchange, ni Fly over kubwa.
 
I wish mtu anipigie picha zile barabara mpya za Arusha ni balaa
 
Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.

Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71

Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Kidaraja kimoja unasema dar nzima! Je wa Mbagala?Wa katikati ja mji? Mwenge? etc
 
Sijui kama ulisoma historia ya Afrika mashariki.
Tanganyika ilipopokonywa kwa mjerumani baada ya vita kuu,na kupewa mwingereza
hakuna ujenzi wowote wa kujenga nchi ulioendelea kwa kuhofia muda wowote atatakiwa kuirudisha UNO.
Kwa ufupi tunawezasema maendelea ya kenya yalichangiwa na rasilimali mwingereza alizoiba Tanzania.
Habari ndo hiyo
hii kama inataka kukubali hivi, though am not sure to that extent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom