Dar kuiaga foleni rasmi

Dar kuiaga foleni rasmi

Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Natamani nikutukane kwa kutaja kiungo cha mzazi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Sijijui, post: 35267009, member: 472449flight ticket na hoteli angalikufunguke
[/QUOTE]
Achana na huyo ambae hajawahi toka Tz
 
Hii ndio interchange mliyokuwa mnaonyeshwa kwenye kideo?

Ama kweli Tanzania akili huwa hazipo mnafurahia kabisa mnaonyeshwa ghorofa kama kobe mnajengewa linalofanana na bata Mungu wangu
Wengi hawaelewi tofauti kati ya interchange na Flyover.
1588871447326.jpeg

Kimsingi interchange (simple) iko hivi.

Zile complicated(ingawaje hii ni ya left hand drive)
1588871746366.png
 
Wengi hawaelewi tofauti kati ya interchange na Flyover.
View attachment 1442926

Kimsingi interchange (simple) iko hivi.

Zile complicated(ingawaje hii ni ya left hand drive)
View attachment 1442939
Mkuu ukijenga kitu Kama hiki bongo tena awamu hii,mbona kila mgeni atakayemtembelea Magu atapelekwa kuiangalia as if ni kitu kipya duniani na makelele ya kusifu na kuabudu yatapigwa sana na kina Bus Yetu hadi masikio yatuume
 
Binafsi natambua kuwa ramani ilibadilishwa japokuwa ile ya mwanzo ilikiwa nzuri sana kuliko hii ya sasa.
Si angerudi kwenye kideo atangaze tena brother? Au kuna public notes walitoa?
 
Ukitokea Ubungo kuelekea Manzese, mbele tu Shekilango unakutana na mataa, mbele kidogo mahakama ya ndizi mataa mengine...

Sijui watafanyaje kuhakikisha hazisababishi foleni kuelekea kwenye hiyo overpass...
 
Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Wewe kweli hujijui!

Sasa hapa aliyetekeleza huo mradi ni JK.? vipi kama Magu angeamua kuupiga chini?

Mbona bandari ya bagamoyo aliipiga chini baada ya kuona haina manufaa kwa taifa.?

Wakati mwingine si tu kupingaa tuuu, bali kukubali hata kama kitu kinauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli hujijui!

Sasa hapa aliyetekeleza huo mradi ni JK.? vipi kama Magu angeamua kuupiga chini?...
Oooh kwa hiyo nchi hii Mambo yanapelekwa kwa utashi wa aliyepo madarakani na si maslahi ya taifa kwa nini mnaojijua? Kweli wewe ni utopolo
 
Back
Top Bottom