Dar kuiaga foleni rasmi

My county

Member
Aug 6, 2016
22
60
Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.

Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71

Hii ni Awamu ya Kazi
FB_IMG_1588855641772.jpg
 
Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.

Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze, tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
 
Serious Wala sitanii kaka,mke wangu pia alikuwa na mawazo Kama yako,siku moja nikiwa Nairobi nikamwambia mama njoo,from that day alikili kuwa ni kweli ccm imetuchelewesha sana
Nishafika huko..wakati unatokea Kitengela nakunja kushoto kuitafuta jiji lenyewe Nairobi ile barabara mnaita sijui thika/Mombasa highway aisee kuna interchange za hatari..
 
Back
Top Bottom