Dar kuiaga foleni rasmi

Nishafika huko..wakati unatokea Kitengela nakunja kushoto kuitafuta jiji lenyewe Nairobi ile barabara mnaita sijui thika/Mombasa highway aisee kuna interchange za hatari..
Asee ile barabara ni superb . . . . Sisi ndo kwanza tunajikongoja na express way ya Dar - Chalinze
 
Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.

Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71

Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Unaposema Dar kuiaga foleni rasmi unamaanisha nini? Ina maana interchange ya ubungo ndio itamaliza foleni ya Dar yote? Unaifahamu Dar vizur wewe?

Rudi tena ukatalii uitambue Dar vizuri
 
Picha: Mapishano ya Barabara (Ubungo Interchange) yafikia patamu, Dar es Salaam kuiaga foleni rasmi, mradi huu ni matokeo ya maamuzi ya Rais mzalendo Mhe. Dkt John Magufuli katika kuimairisha miundombinu ya Barabara nchini.

Mradi unagharimu kiasi cha Tsh Bilioni 188.71

Hii ni Awamu ya KaziView attachment 1442721
Vipi foleni yetu hapa Banana tunaiaga lini?
 
Mkuu kwa hiyo mkeo ana mawazo kama ya bia yetu?!

"corona ipo tuchukue tahadhari"
Hapo kabla alikuwa na mawazo ya kiccm kiccm but not kwa level ya Bia Yetu.But after that trip to Nairobi na baadae Minnesota she is now a different person
 
Serious Wala sitanii kaka,mke wangu pia alikuwa na mawazo Kama yako,siku moja nikiwa Nairobi nikamwambia mama njoo,from that day alikili kuwa ni kweli ccm imetuchelewesha sana

so whats special abbout nairobi?
 
Mkuu, ka Nairobi ni sawa tu na wilaya moja ya Kinondoni kati ya wilaya tano za jiji la Dar.
Wacha kufananisha Dasilama na vitu vya kijinga!

Just imagine, miundombinu yote na maghorofa yote na majumba makali yote ya Ilala, Temeke, Kigamboni na Ubungo uweke kwenye wilaya moja tu ya Kinondoni.. Dar si itakuwa zaidi ya Dubai?
Umeshawahi kuisikia sehemu moja Nairobi inaitwa Eastleigh?

Alafu hiyo Dar mbona ni ndogo sana kuliko hata Wilaya ya Mwigulu nchemba mara tano sijui kumi
 
Umeshawahi kuisikia sehemu moja Nairobi inaitwa Eastleigh?

Alafu hiyo Dar mbona ni ndogo sana kuliko hata Wilaya ya Mwigulu nchemba mara tano sijui kumi

Dar ni ndogo ila kuilinganisha na nairobi sio sahihi... Nairobi ni ndogo sana kwa size ya dar.. nairobi hawana umbali wa mbagala bunju ama mbezi - kibada
 
Mkuu mradi huu wa ubungo interchange na six lanes highway Dar -Chalinze ni kazi ya JK hilo kila mtu mwenye akili timamu anajua.Magu msifu moja kwa kubadirisha ramani ya hiyo interchange,pili kwa kupeperusha barabara ya njia Sita Ubungo Chalinze,tatu kwa kubomoa jengo la Tanesco pale ubungo na nne kwa kubomoa nyumba za wakazi wa kimara
Jinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ni ndogo ila kuilinganisha na nairobi sio sahihi... Nairobi ni ndogo sana kwa size ya dar.. nairobi hawana umbali wa mbagala bunju ama mbezi - kibada
Ni kweli, lakini Nai ni habari nyingine hiyo Eastleigh ukifika unaweza kuhisi uko Posta
 
Back
Top Bottom