Dar kuiaga foleni rasmi

Wana miundombinu bora ya barabara kuliko Bongo

Nairobi is just a well built city with false propaganda! it has highways kitambo sana but the way wanaexplain highways zao utadhan ni Dubai!

They are just normal highways but ni nyingi, tuseme standard ya ubungo ikikamalika plus the train tafuta east africa hii i bet utaipata Ethiopia tu
 
Mkuu kwako ni siasa uchwara kwangu Mimi naona JPM ni mwanasiasa wa mfano wa kuigwa kwa mataifa ya afrika,ilipaswa awe madarakani miaka hata kwa miaka 20 ila basi tu ,tungefika mbali sana
Mkuu Kuna mtu kascha ameungamisha mikoa 23 ya Tanzania kwa barabara za lami,wewe unahangaika na Mr siasa uchwara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nairobi is just a well built city with false propaganda! it has highways kitambo sana but the way wanaexplain highways zao utadhan ni dubai! they are just normal highways but ni nyingi, tuseme standard ya ubungo ikikamalika plus the train tafuta east africa hii i bet utaipata ethiopia tu
Mkuu I think you got it wrong,Thika roads 8 lanes within Nairobi na six lanes out of Nairobi ilijengwa na kibaki, Uhuru highway 6 lanes with all madaraja ya juu up to Jomo Kenyatta Airport ilijengwa na Mwai, Haire siras road,Kenyatta highway six lenes each pia Kuna mkono wa kubaki, University high way na madaraja mengi ya including like daraja refu kutoka stend ya mabasi is Mwai kibaki product.Regime mpya imejenga Nairobi bypass.Nong road na flyover za mombasa
 
Inaitwa Thika road mkuu.nadhani ndo barabara bora Africa mashariki
Wakuu nadhani mnachanganya mambo,tunaongelea tanzania
Wakati Kenya wanajenga hizo barabara,Tanzania tulikuwa tunakomboa nchi za kusini
mwa bara la afrika,sasa tayari zipo huru,tumeanza kujenga nchi yetu
 
Nishafika huko..wakati unatokea Kitengela nakunja kushoto kuitafuta jiji lenyewe Nairobi ile barabara mnaita sijui thika/Mombasa highway aisee kuna interchange za hatari..
Amini usiamini,kwa tanzania iliyopita mtu alikuwa akitamani kuona barabara ya juu
lazima atoke nje ya nchi,kwa sasa mtanzania wa kawaida ana uwezo wa kuziona humu humu nchini.

Bila kusafiri nje ya nchi.Na tulipoteza fedha nyingi maana kila anayepewa cheo
anataka asafiri akajionee maajabu kwa pesa ya walipa kodi badala ya kujenga miundo mbinu.
 
Mkuu kwako ni siasa uchwara kwangu Mimi naona JPM ni mwanasiasa wa mfano wa kuigwa kwa mataifa ya afrika,ilipaswa awe madarakani miaka hata kwa miaka 20 ila basi tu ,tungefika mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama upo kwenye group la kumsifu muda hautatosha kukushawishi, Ila Kama mtu anayetekekeza kwa less than 50% kile alichopanga kukifanya kwa muda furani ndo mfano wa kuigwa Africa basi Africa Ina bahati mbaya
 
Mkuu dunia ikisafunguka,naomba nikulipie flight ticket na hoteli angalau ufike na kutembea hapo Nairobi atleast akili ikufunguke
Mkuu. Utamchanganya mpe nauli ya basi aende Chigali, Rwanda nchi iliyopata uhuru mwaka 1994 akaone mji akirudi apande Tahfif aende Mombasa. Nairobi tutampeleka akibalehe
 
Wakuu nadhani mnachanganya mambo,tunaongelea tanzania
Wakati Kenya wanajenga hizo barabara,Tanzania tulikuwa tunakomboa nchi za kusini
mwa bara la afrika,sasa tayari zipo huru,tumeanza kujenga nchi yetu
Mkuu nchi ya mwisho kupata uhuru kusini mwa bara la Africa ilipsta 1980 miaka 40 iliyopita
 
Serious Wala sitanii kaka,mke wangu pia alikuwa na mawazo Kama yako,siku moja nikiwa Nairobi nikamwambia mama njoo,from that day alikili kuwa ni kweli ccm imetuchelewesha sana
Pamoja na uwepo wa barabara za chini kwa chini upande ule wa Makumbusho. .zile barabara za juu. ..njia hadi nane ila foleni bado iko pale pale ..ila kiukweli CCM wanazingua. ..JPM anafanya kazi nzuri
 
Back
Top Bottom