Dar kuiaga foleni rasmi

Dar kuiaga foleni rasmi

Pilipili usizokula zinakuwashia nini? Kenya mlipokuwa mnauana wenyewe kwa wenyewe mithili ya nguruwe pori,hizo fly over ziliwasaidiaje?
usitake kutuletea silaha zilizoshindwa kukusaidia vitani ili tuzitumie kupigana.
Tanzania na kenya ni nchi mbili tofauti kila mmoja akae kwake ndo maana kuna mipaka.

Mnaitia Afrika aibu, acheni uzembe.
 
Taratibu tutafika,,maana uncle Magu sio alfa na omega kuna walioanza,je walifanya nini,yeye anafanya nini?,na wajao watafanya nini
#Time will tell!!!...
 
Taratibu tutafika,,maana uncle Magu sio alfa na omega kuna walioanza,je walifanya nini,yeye anafanya nini?,na wajao watafanya nini?
#Time will tell!!!...
 
Dar ni kubwa zaidi ya interchange ya ubungo
Haiwezi kumaliza foren ila itapunguza
 
Kinachoonekana ni tofauti kabisa na ile ramani waliyoibandikaga pale kabla ya ujenzi kuanza,labda ni mapema kulaumu, kwa kuwa bado kazi inaendelea huenda wakija kugundua wamekosea watabomoa na hatimaye kujenga kadiri ya ramani. Tusiwe na subira.
 
Back
Top Bottom