Mbona kawaida sana utopolo huu mnaleta sasa
Bongo imeanza na fly over moja ambayon itakua ya kwanza east afrca nnyie mnatuletea ma interchange.
Kuna fly over zngne kama tano iv tyr zpo mezan
-mwenge,moroco,kamata, nk
inshort vibarabara vya nairob si kitu kwa bongo maana tumewapiku kwa maghorofa majengo makali just imagine ile makumbusho ilivokaa poa rud uku njia ya mliman city. Kuna blue giant moja limesimama pale .
Anyway tusiongee sana ila tusubil rel ya umeme iishe na brt ziijengwe phase zingne
Sent using
Jamii Forums mobile app