Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,072
Na ndiye mwekezaji fake wa kiwanda cha mtibwa anayewadhulumu wafanyakazi kwa kuwalazimisha kuandika barua ya kuacha kazi chini ya mtutu wa bundukiWacha iwake moto, siwapendi sana hawa jamaa. Wanakanyaga haki za watu sana.
Wanapenda kesi halafu kesi zenyewe wanahonga ili washinde. Wajane wengi (nawafahamu) wameumizwa sana na hawa Superdoll. Kuna yule kijana wao (jina kapuni) ni mbaya sana, hana huruma na wala utu.
Hawa walishawahi kushirikiana na jaji kiongozi wa zamani (jina kapuni) kudhulumu eneo flani jijini dar. Hovyo kabisa.
Wacha mote uwateketeze tu.
na iteketee store yote...mungu hulipa hapa hapa duniani...