James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,555
Nimeona kavareji yake ITV nafkiri jinsi fire walivyowazembe wanaweza kutumbuka
Hilo tukio linahusiana vipi na selikali?Hii serikali ina mkosi gani,naona matukio yamekuwa mengi
Msome Gragoon ujazie picha na wale tusiowafahamu na avatar yake.
dragoon
dragoon
Duh kama.ni hivo malipo ni hapa hapa dunianiWacha iwake moto, siwapendi sana hawa jamaa. Wanakanyaga haki za watu sana.
Wanapenda kesi halafu kesi zenyewe wanahonga ili washinde. Wajane wengi (nawafahamu) wameumizwa sana na hawa Superdoll. Kuna yule kijana wao (jina kapuni) ni mbaya sana, hana huruma na wala utu.
Hawa walishawahi kushirikiana na jaji kiongozi wa zamani (jina kapuni) kudhulumu eneo flani jijini dar. Hovyo kabisa.
Wacha mote uwateketeze tu.
Weh!Wacha iwake moto, siwapendi sana hawa jamaa. Wanakanyaga haki za watu sana.
Wanapenda kesi halafu kesi zenyewe wanahonga ili washinde. Wajane wengi (nawafahamu) wameumizwa sana na hawa Superdoll. Kuna yule kijana wao (jina kapuni) ni mbaya sana, hana huruma na wala utu.
Hawa walishawahi kushirikiana na jaji kiongozi wa zamani (jina kapuni) kudhulumu eneo flani jijini dar. Hovyo kabisa.
Wacha mote uwateketeze tu.
Ufanisi zero halafu wanataka kuongezewa mishahara.Habari wakuu,
Kwa hiki kinachoendelea hapa SUPERDOLL nyerere Road kiukweli jeshi letu la zima moto bado halina uwezo wa kukabiriana na majanga haya ya moto hususani makubwa kama hili la leo..
Bado hali ni tete huku vifaa vya kutosha na vyenye uwezo vikionekana kua changamoto..
Ningeshauri serikali ifanye maboresho kwenye jeshi hili![]()
Yalitokea hoteli moja bagamoyo siitaji ni ya wasomali wakchoma hoteli moto wakalipwa matokeo yake wamekuja kupanga hoteli hapo posta mpya jengo refu wanakula RR aha mstarehe na mpaka leo hiyo hoteli bagamoyo ni gofu.Isikute ni michezo ya Bima, biashara haziendi kabisa
Na majengo yenyewe hayako standard kusense moto na kuzima kabla haujasambaa. Uliza hapo walikuwa na fire detectors na sprinklers?Tanzania bado sana kwenye kupambana na emergency issues