DAR: Kiwanda cha Superdoll chateketea kwa moto...

DAR: Kiwanda cha Superdoll chateketea kwa moto...

Jamaa amepiga dili serikal ya insurance wakiipa anatimua kodi imekuwa kubwa

Swissme
 
umuhimu anayo bima hivyo hatasumbuka maana watamlipa, tatizo ni usumbufu na kusimama kwa shughuli za kiwanda
kuwategemea zima moto ni kazi sana
 
Hii serikali ina mkosi gani,naona matukio yamekuwa mengi
 
Screenshot_2017-10-06-16-07-11-1.png
Moto unaoendelea kuwaka katika kiwanda ya superdoll barabara ya nyerere mjini Dsm ,juhudi wa kuokoa mali na kuzima moto za endelea.
 
Back
Top Bottom