Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
inasikitisha sana
nilisikia wakina mwapachu wana hisaSiwajui kwa majina ila ni wahindi
mkuu ni peponi mapumzikoni?Yalitokea hoteli moja bagamoyo siitaji ni ya wasomali wakchoma hoteli moto wakalipwa matokeo yake wamekuja kupanga hoteli hapo posta mpya jengo refu wanakula RR aha mstarehe na mpaka leo hiyo hoteli bagamoyo ni gofu.
Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
Paradiso ndiomkuu ni peponi mapumzikoni?
Au wewe ukibakwa si anaweza asikuokoe asubiri serikali ije!Hilo tukio linahusiana vipi na selikali?
Siku mkeo akigongwa si utasingizia selikali?
Uncle BenYa Nasoro Seif ,mmiliki wa super star forwarders (SSF) ,mmiliki wa GMI , mmiliki wa Kagera na mtibwa sugar estates kwa mgongo wa vigogo flani
Kwani Tz tuna kiwanda cha matairi zaidi ya General tyre?? Bila shaka hilo ni Godown la matairi la Super Doll.Nimepita maeneo ya Mtava muda si mrefu nimeona magari ya fire yanaelekea huko..
![]()
===========
Later on..
DAR: Moto mkubwa unawaka katika kiwanda cha matairi cha Super Doll kilichopo barabara ya Nyerere. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika na juhudi za kuuzima zinaendelea.
Taarifa zaidi zitafuata..
View attachment 603253 View attachment 603254
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ukiwakuta kwenye maonyesho wanavyojigamba utafikiri hata motto wa jehanam wanaweza kuuzima
Humjui superdoll wewe waulize wafanyakazi wake ni mnyama zaidi ya wanyama yule....yanayoendelea mtibwa sugar hata maguful hakohoi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Roho mbaya hiyo mkuu, acha Mungu alipe kisasi sio weye. Huenda hata hao wajane ni wadhukumati vile vile. Usimtazame mtu uso ukamhurumia, waweza ingiza joka kitandani. Nawafaham wanawake waovu kuliko firauni
Hawa superdoll ni zaidi ya roha mbaya. Ni magaidi kabisaRoho mbaya hiyo mkuu, acha Mungu alipe kisasi sio weye. Huenda hata hao wajane ni wadhukumati vile vile. Usimtazame mtu uso ukamhurumia, waweza ingiza joka kitandani. Nawafaham wanawake waovu kuliko firauni
Funguka zaidi mkuuHawa superdoll ni zaidi ya roha mbaya. Ni magaidi kabisa
Hii serikali ina mkosi gani,naona matukio yamekuwa mengi
Ujamaa ni mbaya sana kuliko ukimwi. Unafunga hadi ubongo na kukutumisha popote ulipo. HUWAPENDI AU HUJIPENDI? Bima yako italipa zaidi ya kilichoungua hapo.Wacha iwake moto, siwapendi sana hawa jamaa. Wanakanyaga haki za watu sana.
Wanapenda kesi halafu kesi zenyewe wanahonga ili washinde. Wajane wengi (nawafahamu) wameumizwa sana na hawa Superdoll. Kuna yule kijana wao (jina kapuni) ni mbaya sana, hana huruma na wala utu.
Hawa walishawahi kushirikiana na jaji kiongozi wa zamani (jina kapuni) kudhulumu eneo flani jijini dar. Hovyo kabisa.
Wacha mote uwateketeze tu.