Humjui superdoll wewe waulize wafanyakazi wake ni mnyama zaidi ya wanyama yule....yanayoendelea mtibwa sugar hata maguful hakohoi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mh usilolijua ni kama usiku wa giza[emoji2] [emoji2]Kwetu wanasema; Banyani mbaya lakini kiatu chake, dawa. Wewe waweza kumchukia lakini wapo watu ka weye wanalamba kiatu chake