Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,798
- 128,818
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
Mkuu mbona leo unapigwa na butwaa tu, kuna nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
Mkuu inatisha! Yaani ilikuwa Jenerali ah basi tuAngalia jinsi gari ilivyogongwa. Yule dreva alilenga kummaliza kabisa Jenerali.
Mkuu mbona leo unapigwa na butwaa tu, kuna nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!?
Aaaaaaaaaaaaaah....we acha tu....natishika na maelezo haya ya 'concipiracy theories'...
Lakini ulimwengu siyo mleviHata walevi wakipata ajali watasingizia walitaka kuuliwa! Hakuna haja ya kumuua mtu ambaye unaweza kufuta makaratasi yake
Kwani kukosoa kwake, kunazuia nini katika Taifa kufanyika
udikteta uchwaraKwani kukosoa kwake, kunazuia nini katika Taifa kufanyika
Baba JMungu akiwa upande wetu, ni nani atakua juu yetu?
Mkuu Ngabu naona umemwandama sana BabaJ...Nahisi kwenye hii awamu pale Ekulo wameongeza post nyingine....LANGUAGE TRANSLATOR.Hivi MTUKUFU Magufuli huwa anazielewa kweli zile makala za Kiingereza aandikazo Bw. Ulimwengu?
😀
Hivi kwani ni lazima uandike kwa Kiingereza?...How comes that his car has been hit exactly on his driving seat? it does not need great intelligence to realize that this is absolutely conspiracy...
Crackpot theory!Nashawishika kuamini kuwa ajali ya gari iliyowahi kumpata Mama Helen Kijo-Bisimba na hii ya sasa iliyomfika Mwandishi Maarufu Jenerali Twaha Ulimwengu siyo ajali za bahati mbaya - kwa kadri ya mazingira zilivyotokea.
Ajali ya Dr.Bisimba iliyotokea tar.8/11/2015, siku 3 tu baada ya Magufuli kuapishwa kuwa Rais, kwa maoni yangu ililenga kuwaziba LHRC wasikosoe namna Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana ulivyoendeshwa. Tukumbuke kuwa siku chache tu kabla Tume hawajatangaza matokeo yao, polisi walikuwa wamevamia Makao Makuu ya LHRC na kubeba computer zote, na kuwakamata wafanyakazi wa kituo hicho.
View attachment 388297
Baada ya Mama Bisimba, sasa ajali amepelekewa Jenerali Ulimwengu, na huyu kuna kila dalili kuwa ilikuwa 'aondolewe' kabisa maana gari yake imeogongwa upande wa dereva. Hii imetokea siku chache tu baada ya Jenerali kumkosoa Magufuli namna anavyoendesha nchi.Kwa kuwa taarifa zilizopo ni kuwa ameumia sana kichwani, tunamwombea Mwenyezi Mungu amponye na amwepushe na mauti.
View attachment 388302
MUNGU ATUEPUSHE NA MABAYA YOTE YA UTAWALA HUU, NA ATUSAIDIE KUWAADHIBU WATESI WETU! AMEN.
Mungu atuepushie mbali hizi ajali za kiCCM.Nashawishika kuamini kuwa ajali ya gari iliyowahi kumpata Mama Helen Kijo-Bisimba na hii ya sasa iliyomfika Mwandishi Maarufu Jenerali Twaha Ulimwengu siyo ajali za bahati mbaya - kwa kadri ya mazingira zilivyotokea.
Ajali ya Dr.Bisimba iliyotokea tar.8/11/2015, siku 3 tu baada ya Magufuli kuapishwa kuwa Rais, kwa maoni yangu ililenga kuwaziba LHRC wasikosoe namna Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana ulivyoendeshwa. Tukumbuke kuwa siku chache tu kabla Tume hawajatangaza matokeo yao, polisi walikuwa wamevamia Makao Makuu ya LHRC na kubeba computer zote, na kuwakamata wafanyakazi wa kituo hicho.
View attachment 388297
Baada ya Mama Bisimba, sasa ajali amepelekewa Jenerali Ulimwengu, na huyu kuna kila dalili kuwa ilikuwa 'aondolewe' kabisa maana gari yake imeogongwa upande wa dereva. Hii imetokea siku chache tu baada ya Jenerali kumkosoa Magufuli namna anavyoendesha nchi.Kwa kuwa taarifa zilizopo ni kuwa ameumia sana kichwani, tunamwombea Mwenyezi Mungu amponye na amwepushe na mauti.
View attachment 388302
MUNGU ATUEPUSHE NA MABAYA YOTE YA UTAWALA HUU, NA ATUSAIDIE KUWAADHIBU WATESI WETU! AMEN.
Watachukua akawasaidie, wameshamuonaMleta mada inaonekana unajua mengi sana. Labda tuombe uajiriwe polisi usaidie kuchunguza ajali zinazotokea mara kwa mara.