Ushauri wa kagameMlangoni kabisa
Naona specialist alitaka maliza kazi
Wewe ulikuwepo eneo la tukio? Ni magari mangapi yalishagongwa milangoni na watu hawakuwaza haya? Mimi pia niligongwa kwa namna hiyo hiyo pale Davis kona Tandika, je ulikuwa mkono wa nani?Your words express that you should be one of the conspirators who conspire to eliminate all those who are behaving against the current regime.
How comes that his car has been hit exactly on his driving seat? it does not need great intelligence to realize that this is absolutely conspiracy.
The accident is seemingly to be very much intentional, the driver who caused the accident drove straight to Jenerali's car intending to hit him to death.
investigation must be held to get out the entire truth.
sabotage isn't acceptable.
Man made vipi? Wakati yeye ndiye aligonga gari dogo ubavuni!
Utumwa mbaya sana mkuu.Hivi kwani ni lazima uandike kwa Kiingereza?
Kweli kabisa. Jamaa anafikiri akiandika kwa Kiingereza ndio mada yake itaonekana ina mantiki zaidi.Utumwa mbaya sana mkuu.
Imeshawasili ndani ya akili yako.Labda ile 'Tanzania tuliyoihofia imeshawasili'?
Huwa anaona kichina China so translator ana msaidia.Hivi MTUKUFU Magufuli huwa anazielewa kweli zile makala za Kiingereza aandikazo Bw. Ulimwengu?
😀
MOI_ Muhimbili Orthopaedic Institutemoi ya wapi kenya
Mwanaharakati ambaye pia ni mwandishi mkongwe, Jenerali Ulimwengu amelazwa katika Taasisi ya Upasuaji wa Mifupa (MOI), baada ya kuokotwa na wasamaria wema eneo la ubalozi wa Ufaransa, Masaki, usiku wa kuamkia leo akiwa hajitambui baada ya kupata ajali ya gari.
Akizungumza na Mwananchi, Ofisa Uhusiano wa MOI Patrick Mvungi alisema wamempokea Ulimwengu akiwa ametokea katika kitengo cha dharura hospitali ya taifa Muhimbili na kumfanyia vipimo mbalimbali mchana wa leo.
“Tumempokea akitokea kitengo cha dharura Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) hapa kwetu amekuja kwa dharura, tumefanikiwa kumfanyia vipimo kadhaa na sasa amelazwa wodini. Tatizo kubwa alilolipata ni kuumia kichwani,” alisema Mvungi.
Chanzo:Mwananchi
Kenya kuna Muhimbili Orthopaedic Insitute siku hizi? Ama ni ignorance ya kitanzania inafanya kazi?moi ya wapi kenya
This diagram exactly depicts our current state as a nation.