DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

Inatosha Bukyanagandi na Nyabhingi. Poa Watu wangu wa nguvu. Tumuombee mema Jenerali apone haraka.
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako Mkuu. Killing squad katika ubora wao wa kutaka kumnyamazisha Jenerali. Pole sana Jenerali Ulimwengu kweli tumerudi miaka 50 nyuma na sasa tumeamua kuwa kama ile Serikali ya wabaguzi kule South Africa kuwabambikia kesi Watanzania kwa kosa la kudai haki zao, kuwapiga, kuwatia vilema na hata kuwaua ili tu kundi la watu wachache liendelee kung'ang'ania madaraka.
Unaikumbuka hii "ajali"?

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Mbona hizi ajali zina....pole sana
 
Aiseee...
 
Hata walevi wakipata ajali watasingizia walitaka kuuliwa! Hakuna haja ya kumuua mtu ambaye unaweza kufuta makaratasi yake
Wenzako walishamfutia uraia, kwani hawakujua kuwa kufuta hayo makaratasi inawezekana!?
 
Mwanahabari, Mwandishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu amepata ajali Dar es Salaam asubuhi mapema leo.

Yupo hospitali ya Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.

Tutaendelea kuwaletea taarifa.

Mwanahabari HuruView attachment 388029

View attachment 388027
Ile kauli mama haijuwii nchi ndio kapewa za uso jamani... Mm nafunga domo. Sina bando mweee
 
Back
Top Bottom