DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

Kwani anayesababisha ajali ni nani? si ni mtu huyo huyo, nilichokosea ni wapi kusema ni man made?

Ha ha unafeli kaka, haitaji hasira.

Usitake kugeuza geuza maneno hapa - just revisit comments zako zote toka mwanzo, hivi unafikiri hatuna analytical mind ya kujua what you're trying 2 imply - huko hell bent kutaka ku-implicate Dola - baadhi yenu mmekomalia uzushi huu - hakuna anaye jiuliza kama jamaa alipo pata ajali, je, alikuwa sober au la - maneno tu na kutaka kuzulia watu. Unashangaza sana unasema ajali yenyewe ni "MAN MADE" repeat man made! ukibanwa kidogo ufafanue unamaanisha nini unakimbilia kuzuga watu eti ulimaanisha alikuwa anaendesha mweyewe!! Wasomaji sio mbumbumbu wamekwenda shule.
 
Matokeo ya kipimo cha blood alcohol content yameshatoka?
 
Pole sana mkuu Ulimwengu.... " kwa upande wa demokrasia tumerudi nyuma miaka 50" niliipenda hii..... " tataizo viongozi wetu wanapata busara wakiisha staafu" niliipenda zaidi hii mbele ya che nkapa.... Get well soon dude. ... watz bado tunakuhitaji....
 
Usitake kugeuza geuza maneno hapa - just revisit comments zako zote toka mwanzo, hivi unafikiri hatuna analytical mind ya kujua what you're trying 2 imply - huko hell bent kutaka ku-implicate Dola - baadhi yenu mmekomalia uzushi huu - hakuna anaye jiuliza kama jamaa alipo pata ajali, je, alikuwa sober au la - maneno tu na kutaka kuzulia watu. Unashangaza sana unasema ajali yenyewe ni "MAN MADE" repeat man made! ukibanwa kidogo ufafanue unamaanisha nini unakimbilia kuzuga watu eti ulimaanisha alikuwa anaendesha mweyewe!! Wasomaji sio mbumbumbu wamekwenda shule.
kwanza toa upuuzi wako wa vitisho,halafu hakuna sehemu jamaa kamtaja mtu yoyote ila wewe unajistukia utafikiri umetajwa wewe!
 
Msisahau kuwa Rwanda ni rafiki yetu mkubwa na role model wetu ni kiongozi wa huko
Eti kaokotwa akiwa kapata ajali!! Wanasiasa na wanaharakati wengi Tanzania vifo vyao vinatokana na ajali za gari , heart attack ama shindikizo la damu. Sokoine, Kolimba, Dr. Omar, Chacha wangwe, Mtikila, Kigoma Malima and the list goes on.
 
mbona mmeficha namba za gari , au mnatengeze uchochezi , hizo namba zingesaidia kujua UKwell juu ya nani kamgonga,! get well soon Jenerali .
 
Usitake kugeuza geuza maneno hapa - just revisit comments zako zote toka mwanzo, hivi unafikiri hatuna analytical mind ya kujua what you're trying 2 imply - huko hell bent kutaka ku-implicate Dola - baadhi yenu mmekomalia uzushi huu - hakuna anaye jiuliza kama jamaa alipo pata ajali, je, alikuwa sober au la - maneno tu na kutaka kuzulia watu. Unashangaza sana unasema ajali yenyewe ni "MAN MADE" repeat man made! ukibanwa kidogo ufafanue unamaanisha nini unakimbilia kuzuga watu eti ulimaanisha alikuwa anaendesha mweyewe!! Wasomaji sio mbumbumbu wamekwenda shule.
Overperception, ulichokijenga ubongoni mwako ni negative na ndo hiko hiko ulichokideliver..poor!
 
Wewe humjui ni mlevi wa kutupwa.Hiyo ajali pengine aweza kuwa alikuwa anaendesha akitokea kutwika pombe alizokunywa usiku kucha
Atakuwa kama alilewa akiendesha alikuwa anaona barabara yote kila upande yake akiwaza kuwa ni haki yake kikatiba kuendesha kila upande na kukata kokote kwa sababu katiba inatoa uhuru wa kwenda popote.Si unajua pombe zikikolea.
 
Wewe ulikuwepo eneo la tukio? Ni magari mangapi yalishagongwa milangoni na watu hawakuwaza haya? Mimi pia niligongwa kwa namna hiyo hiyo pale Davis kona Tandika, je ulikuwa mkono wa nani?
weka picha tuone ulivyogongwa. acha hizo ww
 
Back
Top Bottom