Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
Maisha huwa hayana formula ni kama vita flani ambayo ushindi unatokana na aina ya silaha ulizonazo za kumpiga adui (umaskini) na ndio maana unaweza ukakaa Dar ukafeli na ukarudi mkoani ukatusua na mwingine anatoka Kilwa Kivunje anakwenda Dar anatua vilevile kutokana na kile kilichompelea Dar. Au mwingine anatoka Dar anarudi mkoani hali inakuwa ile ile kama ilivyokuwa Dar alafu anashuhudia watu wanatoka vijijini wanatusua waati yeye yupo palepale
