Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Jamaa wanajifariji kweli wanahisi mkoani Kila mtu katoboa wakati sehemu kibao watu wanachangia maji/Dimbwi na Ng'ombe.Duh...kwahio huko mkoani wote mnaishi maisha kama peponi? Hebu tafuta ripori ya NBS ujionee.
Ndiko ambako utakuta wananchi wake Kila siku wanaomba msaada serikali iwasaidie kujenga choo cha zahanati ya Kijiji.Wakitaka kupitisha harambee unakuta vikao wanakuja kufanyia Dar