Basi tuchukue hela DSM, tukajenge Mkoani!Maoni yangu
Dar Ni vigumu kujenga nyumba kuliko mkoani
Lakini dar Ni rahisi kupata hela kuliko mikoani
Hahah ni kweli masta, mi nawewe ndio maskini tu humu, wacha tushuhudie mtanange wa hawa mavijanaa wenye mapesaa jijini DarUzuri wa jf Kila mtu ni milionea na Kila mtu ana maisha bora
Labda anazungumzia walinzi wa kimasai na ma beki tatu ambao hata wao kuwapata sahii ni changamoto. Dar hamna mtu anaekubali kuwa daraja sahizi.Yaaani we uliesema raslimali watu nakuonea huruma sana watu wenyewe kina nani wa kuwageuza raslimali siku hizi kila mtu mjanja utampata nani awe fursa kwako
Ila pia ukumbuke kungekuwa na effect ya watu kutoishi Dar. Kama kila mtu angekuwa halali Dar means makazi yangekua mikoani Hio biashara ingefanyikaje?Dar kwa fursa sawa kwa kuishi No. Naamini kungekua kuna usafiri affordable na realible lets say bullet train kutokea Dar to Arusha au usafiri wa ndege usingekua anasa kwamba hata mtu wa kipato cha kati angeweza kuafford watu wengi wasingeishi Dar.
Dar inataka hisabati wenye uwezo wa kukokotoa milinganyo ndio hawa mnaowasifu...wenye uwezo kinyume chake wanakimbia au kupaponda...binadamu yeyote anaetumia akili yake vizuri,alimradi ana siha njema anao uwezo wa kuishi mahali popote ambapo binadamu wengine wanaishi.
Kiongozi unaonekana unaishi upanga, oysterbay au masaki. Hongera sana maana navyoona hizo ndio sehemu ambazo utaamka saa 2 uwahi kazini. Na zina ku favor kuishi lavish lifestyle! Sie wakolomije tunasaga meno tu.Pole mkuu, joto kali ni kuanzia December, ila miezi hii na kurudi hadi wa sita hali sio mbaya. Foleni ni sifa ya jiji lolote kubwa si London,si New York....labda ukae huko huko mikoani na vijijini. Ku-relax ni mipangilio yako tu.
Kama we ni CEO na kampuni yako inafanya poa ama una position kubwa serikalini dar ni peponi. Ila kwa walala hoi Dar hapafai hata kulumangia.
Uko jumla jumla sana MKUU.Maisha ni popote akili yako tu.
Nakaa Kigamboni ofisi Makumbusho, natoka home 0800 nafika Makumbusho 0845/0900.Kiongozi unaonekana unaishi upanga, oysterbay au masaki. Hongera sana maana navyoona hizo ndio sehemu ambazo utaamka saa 2 uwahi kazini. Na zina ku favor kuishi lavish lifestyle! Sie wakolomije tunasaga meno tu.
Kama wewe unavyong-ang-ania mkoani ndio kuna maisha mazuri. Namjibu yoyote kwa hoja. Na facts sio hisia.Doh naona hata hatuelewani umeng'ang'ania dar tu kuna maisha mazuri, mada haikuwa dar na mkoani wapi kuna maisha mazuri, mada inasema dar na mkoani wapi ni rahisi kufanikiwa kimaisha ,
Typical mindset ya watu wa dar , hatukubali kuonekana tumefshindwa hata kidogo especially unapofanya argument na mtu unayedhani ni wakuja !!!
Naona mada ya chini hapo unampinga kwa nguvu zote mdau aliyesema kuwa dar kuna joto ,
Kiongozi unaonekana unaishi upanga, oysterbay au masaki. Hongera sana maana navyoona hizo ndio sehemu ambazo utaamka saa 2 uwahi kazini. Na zina ku favor kuishi lavish lifestyle! Sie wakolomije tunasaga meno tu.
Yeah na wanawake wadangaji wanapapenda kwa sababu ya watu wenye vipato vikubwa excess wapo hapo.100% huu ndio ukweli,wengi wanaoishi dar wanakufa na tai shingoni ni vile tu watafanya nini.
Wapi nimesema mkoani kuna maisha mazuri mkuu?Kama wewe unavyong-ang-ania mkoani ndio kuna maisha mazuri. Namjibu yoyote kwa hoja. Na facts sio hisia.
Umeona balaa hilo, sipati picha ulivyokuwa unaamka saa 10 alfajiri kama mwanga!Niliwahi kuishi tabata afu ofisi iko tegeta aisee chamoto nilikipata sana tu,saa 2 asubuhi uwe mzigoni.
Sahihi kabisa ,Yeah na wanawake wadangaji wanapapenda kwa sababu ya watu wenye vipato vikubwa excess wapo hapo.
Mi sikufichi, Dar kwa hali ya sasa kama huna kipato cha elfu 80 mpaka laki kwa siku utapaona pachungu hasa kama unapenda kuishi comfortably, uendeshe gari na home familia ile vizuri, ule bata bila kusahau ku save kwa ajili ya maendeleo! Gharama za maisha ni kubwa sana.
Comfortability ya maisha ya mtu anaeingiza laki kwa siku Dar ni sawa na ya mtu anaeingiza elfu hamsini kwa siku kwa mikoa mingi tofauti na Dar.
Kwa hiyo tatizo lako joto tu! Karibu dar upate fursa.Acheni wogalile tu joto kwangu huwa naona kama nipo ahela,yaani joto kulidhibiti unatumia gharama?