Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,271
- 54,705
Unajua dodoma maisha yako juu. Maji ya tabu.. kiufupi mazingira na hali ya jewa sio friendly sana. Watu wanapata shidah ku adoptWatu kibao wamehamishiwa Dodoma wanalia utafikiri wamepelekwa kambi ya wakimbizi Ngara!
Na dhamira. Maana kutoka si mchezo. Haijalishi uko ktk hali gani. Lazima upambane haswaKwenye kutafuta kuna hitaji kujitoa mhanga
Sio dar tu inavyo tembelea mikoa ambayo ni jicho la tanzania. Kuna ile mikoa kipaombele. Ndio utajua hayo magari makali, nyumba kali, sijui na viwanja viko hata pia kwenye hiyo mikoa.Yes nagari ya thamani Tanzania yapo Dar nyumba za gharama kubwa zipo Dar viwanja vizuri pia na kila kitu kizuri hapa Tz kinapatikana Dar
Kama nimemsoma mtoa mada vizuri ni kwamba hazungumzii ukwasi , anazungumzia jinsi ya mtu wa kawaida nilivyo ngumu kwa dar kuliko mikoa mingineKwa mujibu wa NBS wakazi wa Dar asilimia kubwa wana unafuu wa maisha kulinganisha na mikoa yote Tanzania. Hizi ni takwimu hizo nyingine ni porojo tu na ndio maana watu wanaongoza kukimbilia Dar na si kinyume chake.
Na huo utafiti wa NBS unaonesha jinsi hali ya mtu wa kawaida ilivyo nzuri Dar kuliko sehemu yoyote Tz.Kama nimemsoma mtoa mada vizuri ni kwamba hazungumzii ukwasi , anazungumzia jinsi ya mtu wa kawaida nilivyo ngumu kwa dar kuliko mikoa mingine
Najua, na ndio maana nimetoa huo mfano kwa hao wanaojipa moyo mikoani ni kuzuuuri sana. Narudia tena, kwa mujibu wa NBS Dar ndio kuna unafuu wa maisha kuliko sehemu yoyote Tz hasa Mwanza ambako utafiti umeonesha wako chini sana.Unajua dodoma maisha yako juu. Maji ya tabu.. kiufupi mazingira na hali ya jewa sio friendly sana. Watu wanapata shidah ku adopt
Waulize wenzio waliohamia dodoma wanavyolia Lia. Dar kufanikiwa ni rahisi kuliko kufeli.
Sasa hiyo hela unaifanyia nini?Maoni yangu
Dar Ni vigumu kujenga nyumba kuliko mkoani
Lakini dar Ni rahisi kupata hela kuliko mikoani
Nimeishi Dar kwa takribani miaka 13,hakuna cha maana nilichokifanya,ila niliporudi mkoani ndani ya mwaka mmoja maisha yalikuwa tofauti kabisa. Niliacha kufikiria mawazo ya muda mfupi mfano nitakula nini kesho,kodi itakuaje na mengineyo ya kipuuzi..
Sasa hivi nawaza itakuaje baada ya mwaka au miaka kumi nitakuwa wapi. Hilo Dar linaishia kwenye maneno tu,maisha ya Dar yanamfanya mtu awe mtumwa,wana wengi wanaogopa kurudi mahome kwao kwa kuhisi watadharaulika.
Acha fikra potovu rudi ubadili namna ya kufikiri,huku mambo yanaenda ukitia nia.[/QUOTE Aisee ndugu that is material fact and empirical evidence ,ni wachache mno watakuelewa ,,, I have in DSM aka dirty city for 14 years nikafanya maamuzi magumu ya kuhama Aiseee sijuti nimeka miaka miwili wilayani kweli naona mabadiliko makubwa mno !!! Dar watu wanadanganyana
Nimefurahi tu hahahaUmefurahi kusikia hawanywi soda mpaka sikukuu...au umekumbushwa mbali?
Kwa dodoma maisha yako juu sana . How ever kuna mikoa mingine kama mitatu hiv ukitoa dodoma bado ina fursa na utaweza kutoka tu only ukijiongeza.Najua, na ndio maana nimetoa huo mfano kwa hao wanaojipa moyo mikoani ni kuzuuuri sana. Narudia tena, kwa mujibu wa NBS Dar ndio kuna unafuu wa maisha kuliko sehemu yoyote Tz hasa Mwanza ambako utafiti umeonesha wako chini sana.
Ww umeishi moro na dodoma tu?Nimezaliwa Dar
Nimekulia Dar
Hakunaga kama Dar, niliwahi kuishi Morogoro + Dodoma
Ni miji ambayo inachosha saana kila siku unakutana na watu wale wale
Halafu kama unafanya kazi ktk taasisi unajuana na kila mtu Mkuu Wa Wilaya, Mkoa, Mkurugenzi na jioni unakutana nao. Ktk hali kama hiyo ni rahisi kuona Maisha Umeyamaliza
Hapa Dar kuna uwezekano wa plot uliyoinunua 5m miaka 5iliyopita sasa hivi watu wanakupa 200m na huitaki.
Dar cha muhimu uwe na MIPANGO + NETWORK
Mi Dodoma nilikuwa nakaa na 20k wiki nzima
Hapa Dar nikitoka asubuhi na 50k naweza nisirudi na ki2, naweza toka home asubuhi bila ki2 nikarudi na 500k au 1m. Almuhim mikoani mzunguko ni mdogo saana
Kuchunguzana kwingi saana mikoani kwa sababu watu wengi mmejirundika sehemu moja ukija na gar mpya mji mzima unajua, demu mkali akiingia kuna competition za kijiinga zinaanza hata kama demu wenyewe alikuwa wa kawaida pale kwetu kwa mtogole
In 2003 kuna gari nilikuwa nauza Toyota Chaser ile gari sijaitumia hata miezi 6 niliinunua 3.5m nikawa naiuza nataka kurudisha hela yangu 3.5m tuu
Basi madalali(wa kabila fulani) wakapigiana chepuo vijiwe vyoote vya dodoma ile gari watu wanaishia 2.5m nikahangaika saana baadaye nikaamua tuu niifungie uwani kuliko kuuza bei ile.
Huwezi amini nilipoileta ile gari Dar niliiuza 3.5m tena jamaa niliemuuzia alivyofika nayo Nzega alinipigia simu kunishukuru nimemuuzia gari nzuri saana
I love you Dar
Kwahiyo tunaoishi Dom tumepotea njia?Uko sahihi mkuu. Nina rafiki yangu amehamishiwa Dodoma. Kule anasema maisha hayana changamoto kabisa ameamua kuacha kazi na sasa anaendelea na mishe zake hapa Jijini.