Siasa za Africa ni za kufa na kupona, sasa kama anakosa c wampeleke mahakamani, lijulikani. Huyu mtu akifia huko c wanahatarisha machafuko nchi nzima, watznia wengi matumaini yao yako kwenye Mbowe sio chadema.
 
Tunamtakia apone na akabiliane na hizo tuhuma. By any means CDM inaendeshwa kiharakati na matukio. Kama Mbowe akishinda hizo tuhuma nawashauri CDM tafuteni watu mabingwa wa mikakati ya Siasa wawaaandikie ni namna gani mnaweza kupambana na CCM katika utawala wa Rais SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…