Dar es Salaam ni jiji la wanafunzi Vilaza

Nilisoma tuition ya A level Mchikichini ndo nikaja gundua elimu ya Dar ngumu vibaya mno. Unakaa kituoni na dogo form ngapi mnapanda daladala kufika Benja anaingia saa tatu. Siku nyingine saa nne, kuna shule nyingine wanafunzi wengi hivo wanasoma kwa shift. Ukitoka uko umechoka na jua kali, unapata magari kwa mbinde, unafika nyumbani choka mbaya na ukiwa umechelewa. Ningesomea Dar ningekuwa bwege

Sasa kwa ambaye hajui hata Tuition huyo naye asemeje. Maana wanafunzi wa Mikoani wengi wao hawajui hiyo kitu inayoitwa Tuition Bado shule hazina waalimu na bado wanafanya poa.

Ukiwa kilaza hukosi sababu ya kushindwa. Ukiwa kipanga hukosi sababu ya kushinda
 
Dar cyo vilaza. Takwimu za matokeo hazitolew Kama akir zinavyokutuma ,,mfano shule Ina wanafunzi 200 ,ikatokea 150 Wana decision one ,shule nyingine Ina wanafunzi 70 na wote Wana decision one ,inayohesabika imeshinda Ni shule yenye wanafunzi 70 .dar inaoneka kuwa kilaza kwa sababu Ina idad kubwa ya wanafunzi

wanafunzi wengi sio hoja. Ukisema hivyo basi Kilimanjaro na Kagera ingesema kuwa shule zetu zimekuwa za mwisho kwa sababu tuna shule nyingi. Wenzenu wanashule nyingu lakini hakuna shule ahata moja imeshika mkia.
 
Kwanza wazazi wawe na mwamko wa elimu. Ziwepo propramu mbalimbali za kuipa promo elimu. Iwe ni kwenye vyombo vya habari au mitandao na dini.

Shida ya Dsm ni kuwa ndio Mkoa ambao vijana wake wanaamini kuwa unaweza usisome na ukafanikiwa kwa kucheza kamari, kuuza madawa, usanii au kudanga. Hapo ndipo thamani ya elimu inaposhuka kwa kuwa watoto wanawaona wazazi wao, ndugu na jamaa ambao hawajasoma lakini wanapiga misheni town na wanaishi. Hivyo mtoto anaona hata asiposoma hawezi pata shida.

Hii ni tofauti na mikoani. Mkoani wazazi wanakauli ile usipo soma ndio basi tena utabaki kuwa mkulima hapa au mchungi wa mbuzi. Hapo inamlazimu mtoto kusoma.

Kinachotakiwa kufanyika ni ishu ya propaganda kuhusiana na elimu. Kuwa elimu ni muhimu na usipo soma utakosa mwanamke mzuri, utakosa maisha mazuri, utakosa kazi nzuri n.k
Lakini Dar ipo propaganda isemayo kusoma sio kufanikiwa maisha na mtu anapewa mifano isiyozidi kumu. Hapo atatajwa Diamond, Bakhresa n.k Matokeo watoto wote wanataka kuwa Diamond na wengine wanataka kuwa Amberutyy
Umenena kweli tupu.
Nimewahi kuwaza hilo la propaganda na kuja na mradi wa elimu...at last sijaliweka kwenye mchakato. Ila lazima nije kufanyia kazi hii kitu. I save your number ndugu, nadhani unafaa kuwa mbia. Maana mwisho wa siku ni ku-take action.
 
DAR ES SALAAM NI JIJI LA VILAZA.

Na, Robert Heriel.

Sijawahi kuona wanafunzi vilaza kama wa Mkoa wa Dar es salaam. Wanafunzi wa Dar es salaam ni vilaza hujapata kuona popote dunia hii. Ni vilaza ambao hawajawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia. Wapende wasipende. Huo ndio ukweli. Ninyi ni Vilaza tena wa kutupa. Mnalitia taifa aibu kwa sifuri zenu.

Unajua maana ya mwanafunzi kilaza?
Ipo hivi; Kilaza ni mwanafunzi ambaye uwezo wake wa akili ni mdogo hata umuwekee mazingira wezeshi bado atabaki kuwa na uwezo mdogo.

Kwa maana hiyo na nyinginezo zinalifanya jiji la Dar es salaam kuwa jiji la Vilaza waliotukuka.

Haiwezekani jiji kubwa hapa nchini lenye miundombinu yenye unafuu bado lishindwe hata kuwa top ten ya mikoa. Mbaya zaidi ndilo linaloongoza kwa sifuri zilizotukuka. Huo ni ukilaza.
Wala hatuna muda wa kuongea maneno matamu katika hili. Yaani usome Dar es salaam bado upate sifuri wewe ni kiazi mbatata.

Dar es salaam karibu kila nyumba inaumeme. Nini kinafanya watoto wasisome mpaka wapate sifuri kama sio vichwa viazi. Iko hivi. Kama mtoto sio kiazi basi mlezi ndiye kiazi. Mtoto apate sifuri ilhali kuna umeme. Anapataje sifuri kwa mfano kama sio uzembe. Na uzembe ndio ukilaza wenyewe huo.

Watoto wanshindwa kuamka usiku wa manane kusoma? Haya hata wazazi wanashindwa kuwaamsha hao watoto kama wao wenyewe hawajitambui? Usijesema kuna kelele. Hiyo sio kweli. Mji wa Dar es salaam unaanza kupoa mida ya saa tatu usiku. Huo ni muda mzuri kwa mwanafunzi kujisomea. Akipeleka mpaka saa saba. Au alale kisha amke saa nane mpaka asubuhi kila siku kamwe hawezi kupata sifuri.

Jiji lina Tuition center kila kona. Ukigeuka huku mchikichini, huku mapambano, kule sijui nini huko. Yaani Tuition kila kona. Haya tuseme mzazi hana Pesa ya Tuition. Hivi mtoto kweli unashindwaje kuwa na marafiki wanaosoma tuition badala yake marafiki zako ni wacheza vigoma na mdundiko. Sijui Beach boy, sijui panya Road yaani utumbo utumbo tuu. Alafu unakuja kulitia aibu taifa.

Hivi unapataje sifuri kwenye jiji ambalo kila nyumba inammiliki wa Smartphone kama sio Laptop kabisa. Hivi mnashindwaje kudownload notes na material mbalimbali ya kujisomea. Matokeo yake mnatumia simu kudownlooad Video za ponograph, kuchat Whatsapp, instagram, sijui imo, na Telegram.

Yaani unaishi Dar alafu unapata sifuri wewe kama sio kichaa ni nani. Hakuna mwanafunzi mwenye akili timamu ambaye atasoma Dar apate sifuri. hata hiyo division four haiwezekani.

Haiwezekani jiji lenye chuo cha taifa, chuo kikuu cha Dar es salaam - UDSM , vyuo vingine vingi tuu kama CBE, IFM, NIT, DIT, Ardhi, Muhimbili n.k alafu bado mtu anapata zero huo si upunguani.Sisi wengine wamikoani vyuo vikuu tumeviona tulivyomaliza kidato cha sita. Tukaja mjini tukanyuka misonge tukasepa. Ninyi mmebaki kushangaana hapo kama vichaa.

Ujinga ni pamoja na kutokujua matumizi ya rasilimali. Yaani jiji lenu lina vyuo kama vyote, mnashindwa kwenda kujifunza hata kwa kaka zenu wa chuo. Mnatia aibu kwa kweli.

Jiji la Dar es Salaam ndio jiji pekee lenye vitabu, vitini, na madesa kuliko mkoa wowote hapa nchini. Lakini shangaa ndilo linaloongoza kwa sifuri nyingi ambazo ni zaidi ya mara mbili kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Iringa.

Nina uhakika jiji la Dar es salaam kama lisingekuwa na miundombinu wezeshi kama hiyo hakuna mwanafunzi ambaye angepata hata divisio four. Wote wangepata sifuri kwa sababu ni vilaza.

Jiji la Dar es Salaam hakuna changamoto ya usafiri. Kwa vile wamezoea mambo ya legelege utasikia kugombania daladala ni changamoto. Wewe ni kichaa kama utafikiri hivyo. Nenda mkoani uone wenzako wakitembea kilomita za kutosha zaidi ya masaa mawili na bado wakifika wachapwe bakora kwa kuchelewa. Wewe unatembea dakika mbili upo kwenye daladala huyo mpaka shule. Tena kwenye Daladala mnapiaga kelele wazazi wenu kwa sababu nao ni wendawazimu kama nyie. Yaani matoto yanapanda gari yanaanza kutukana, sijui hadithi ya msanii gani kafanya nini. Mara matusi kibao. Hapo kuna wazazi nao wanasikiliza kwa sababu nao ni walewale. Badala wawakanye ikiwezekana wawachape bakora za uhakika. Looh! Ndio mambo ya vilaza hayo.
Mkoani huwezi sikia ujinga ujinga kama huo. Nenda Misungwi huko, nenda muleba, nenda Rombo, Nenda Bukoba, Nenda Mbeya kama utasikia upuuzi huo.

Jiji la Dar es Salaam hakuna kazi ngumu kwa wanafunzi bado toto lipate sifuri kama sio ukilaza huo ni nini. Mkoani watu wanatoka shule wanasubiriwa na majani ya mbuzi, ng'ombe, kuni, kuchunga mifugo na kulima. Mtoto akirudi nyumbani akichelewa anakula mbata/bakora za uhakika na mzigo unamsubiria shambani. Lakini mwisho wa siku matokeo ya kidato cha nne anasimamisha msonge alafu wewe unayerudi nyumbani saa nane mchana unakalia kucheza PS, au unaenda kwenye mabanda umiza ya kina Acheche na Kimoda kuangalia Muvi unapata sifuri kwa ukilaza wako. Wewe ni kilaza na atakayekutetea ni kilaza bila kujali nafasi yake.

Huwezi ukafeli sehemu yenye shule zilizokaribu karibu.Jamani unashindwa kupata marafiki wa kitaaluma. Wenzako mkoani unakuta wilaya kata nzima kama sio wilaya shule ipo moja na bado anakupiga kipigo cha mbwa koko. Wewe bado uwe mzima kichwani.

Huwezi ukafeli ilhali kuna vipindi vya bungo kids sijui Skonga kwenye Luninga. Hivi unajua huko mikoani wenzako hivyo vipindi hawavijui kabisa kutokana na kutokuwepo na nyumba za umeme. Mfuate yule kijana wa Simiyu aliyechapa one ya Saba uone kama anajua hivyo vipindi. Usishangae kwao hakuna hata umeme. Alafu wewe unashindwa na mluga luga asiyeijua hata smartphone bado ujione kichwani zimo.

Watoto wa Dar es Salaam wanajiona wajanja lakini hakuna ujanja waliokuwa nao zaidi ya ujinga ujinga tuu. Wewe ukimuona kijana wa Dsm anaongea sana ujue kichwani hamna kitu. Usishangae kwa nini jiji hilo ni chafu kupita maelezo. Jibu ni kwa sababu ya ukilaza.

Wewee fikiria mtu anazibua chemba wakati wa mvua ikinyesha alafu yale mavi yanazagaa mtaani. Kama huo sio ukichaa ni nini.

Embu angalia mikoa inayofanya vizuri hapa nchini uone kama utaona hayo mambo ya hovyo. Embu nenda kule Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Kagera, Mbeya na Simiyu uone kama utakuta mambo hayo. Ujinga unaendana na uchafu. Ndio maana vichaa huwa ni wachafu na wanaishi kwenye majalala. Ndio sifa hiyo.

Wewe mtu mzima unapangiwa ratiba ya usafi bado ujione unaakili kweli. Kazi kusumbua viongozi.

Vitoto vya Dar es salaam ni moja ya vitoto vilivyo changanyikiwa. Yaani kitoto kidogo lakini mambo yake mazito. Unakuta kijana wa kiume katoboa pua na anasoma. Mara kanyoa kiduku, mara kabana suruali na matako kama shoga na bado kanasoma. Alafu Baba yupo, Mama yupo, Bibi yupo, Shangazi yupo, na anapewa ugali pumbavu kabisa. Alafu mtu aone nawatukana watu wa Dsm. Ninyi ni vilaza.

Ati mnasingizia maisha magumu huo ni uongo. Mngeishi huku mkoani kwa watabe. Huku maisha magumu lakini watu hawajiharibu kwa upuuzi.

Wanafunzi wa Dsm wanalala na wazungu lakini kingereza weupe yaani kapa. Mkoani watu wanalala na ng'ombe, kuku. mbuzi na kondoo chumba kimoja na bado kijana anamwaga ung'eng'e kama mzungu wa London.

Nakumbuka miaka nikiwa nasoma sekondari nilikutana na kijana maneno mengi wa Dsm. Yaani kijana anaongea yule sijapata kuona. Nikamuuliza swali dogo tuu la Biology kwamba aelezee Mechanism of Hearing. Dogo chali. Nikaona nimmalize kabisa, (physics) nikamwambia aelezee Paschal's Principle dogo jasho linamtoka. Nikasema huyu ili akiniona anisalimie kabisa nikamwambia (history) aelezee WWI. Hapa nilimuuliza swali la history ili nimpumzishe lakini kumbe hata hiyo WWI haijui. Nilishangaa akiongea habari za mieleka. Mama yangu! Nikamtemea mate usoni nikamwambia tokaa hapa! Kwa kweli aliniudhi mno. Japo tulishikana mashati lakini hatakuja kunisahau maana alibadilika na tulikutana Udsm. Alinambia dharau zangu zilimsaidia. Mate yangu yaligeuza upuuzi wake kuwa akili.

Ninachotaka kusema ni kuwa, Jiji la Dar es salaam mnatia aibu. Mbadilike. Ndio maana mnaitwa wanaume wa Dar. Yaani watu legelege.

Haiwezekani muwe na kila kitu bado mnafeli. Kama sio ukilaza huo ni nini.

Mwisho; Najua wapo wanaojitahidi hapa Dsm lakini mnamezwa na wanaoangua mayai viza. Wanawaabisha hao watu.

SIshangai kwenye media nikiona mambo ya hovyo, najua ni matokeo ya vilaza. Mtu anashabikia udaku, shilawadu, na upuuzi mwingine kama huo. Na wenye media nao kwa vile wengi wao ni vilaza wanaruhusu vipindi kuruka hewani. Kwa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa katika jiji letu hili.

Ukiishi Dar miaka mitano mfululuzi lazima akili yako iyumbe. Hii ni kutokana na mvutano utakaoupata kutoka kwa vilaza.

Wana- Dar es salaam tubadilike kwa maana mimi mwenyewe ni mkazi wa Dsm.

Ikumbukwe kuwa; nimeitumia Dar kama kielelezo cha mikoa yenye vilaza wa kutupa. Mikoa mingine ambayo sijaitaja ambayo inamiundombinu wezeshi lakini bado inafelisha, huu ujumbe pia unawahusu.

Robert Heriel
Taiko wa Fasihi
0693322300
Umeandika mwandiko mreefu lakini hujajikita katika matatizo haswa usafiri kwa wanafunzi, foleni barabarani, hali ya hewa, wingi wa wanafunzi mashuleni vs uchache wa vyumba vya kufundisha, wanafunzi kuamka mapema saa 10/11 alfajiri. Hafu ulinganishe na mikoa mingine.
 
Sasa kwa ambaye hajui hata Tuition huyo naye asemeje. Maana wanafunzi wa Mikoani wengi wao hawajui hiyo kitu inayoitwa Tuition Bado shule hazina waalimu na bado wanafanya poa.

Ukiwa kilaza hukosi sababu ya kushindwa. Ukiwa kipanga hukosi sababu ya kushinda
Hujui kuwa mikoani, na wilayani, Kata, Mtaa, walimu wanaofundisha madarasani jioni wanajigeuza wa twisheni? Sikuhizi kila mkoa au Wilaya hukosi twisheni
 
Umeona wanafunzi tu issue inanzia kwa mwalimu, futilia shule zilizofanya vizuri walimu wake wametulia hawana msongo wa mawazo madeni bank mpaka kwenye vikoba, kelele za familia nyumbani mpaka boss eneo likiwa na hivi vitu mtoto hata akasome vipi kufaurisha ni tatizo

So halmashauri ziangalie jinsi gani itafanya walimu watulize msongo wa mawazo hususani madeni ya ajabu ajabu yana athiri sana utendaji kazi wao mtu yupo kazini anawaza familia anawaza vimeo vyake unadhani atadeal na mtoto saa ngapi

Sasa jiji kama dar hapo sidhani kama kuna mwalimu asiye na vimeo so vimeo vikiwa vingi hawazi kazi tena anawaza mambo mengine yakufanya maisha yaendelee
 
DAR ES SALAAM NI JIJI LA VILAZA.

Na, Robert Heriel.

Sijawahi kuona wanafunzi vilaza kama wa Mkoa wa Dar es salaam. Wanafunzi wa Dar es salaam ni vilaza hujapata kuona popote dunia hii. Ni vilaza ambao hawajawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia. Wapende wasipende. Huo ndio ukweli. Ninyi ni Vilaza tena wa kutupa. Mnalitia taifa aibu kwa sifuri zenu.

Unajua maana ya mwanafunzi kilaza?
Ipo hivi; Kilaza ni mwanafunzi ambaye uwezo wake wa akili ni mdogo hata umuwekee mazingira wezeshi bado atabaki kuwa na uwezo mdogo.

Kwa maana hiyo na nyinginezo zinalifanya jiji la Dar es salaam kuwa jiji la Vilaza waliotukuka.

Haiwezekani jiji kubwa hapa nchini lenye miundombinu yenye unafuu bado lishindwe hata kuwa top ten ya mikoa. Mbaya zaidi ndilo linaloongoza kwa sifuri zilizotukuka. Huo ni ukilaza.
Wala hatuna muda wa kuongea maneno matamu katika hili. Yaani usome Dar es salaam bado upate sifuri wewe ni kiazi mbatata.

Dar es salaam karibu kila nyumba inaumeme. Nini kinafanya watoto wasisome mpaka wapate sifuri kama sio vichwa viazi. Iko hivi. Kama mtoto sio kiazi basi mlezi ndiye kiazi. Mtoto apate sifuri ilhali kuna umeme. Anapataje sifuri kwa mfano kama sio uzembe. Na uzembe ndio ukilaza wenyewe huo.

Watoto wanshindwa kuamka usiku wa manane kusoma? Haya hata wazazi wanashindwa kuwaamsha hao watoto kama wao wenyewe hawajitambui? Usijesema kuna kelele. Hiyo sio kweli. Mji wa Dar es salaam unaanza kupoa mida ya saa tatu usiku. Huo ni muda mzuri kwa mwanafunzi kujisomea. Akipeleka mpaka saa saba. Au alale kisha amke saa nane mpaka asubuhi kila siku kamwe hawezi kupata sifuri.

Jiji lina Tuition center kila kona. Ukigeuka huku mchikichini, huku mapambano, kule sijui nini huko. Yaani Tuition kila kona. Haya tuseme mzazi hana Pesa ya Tuition. Hivi mtoto kweli unashindwaje kuwa na marafiki wanaosoma tuition badala yake marafiki zako ni wacheza vigoma na mdundiko. Sijui Beach boy, sijui panya Road yaani utumbo utumbo tuu. Alafu unakuja kulitia aibu taifa.

Hivi unapataje sifuri kwenye jiji ambalo kila nyumba inammiliki wa Smartphone kama sio Laptop kabisa. Hivi mnashindwaje kudownload notes na material mbalimbali ya kujisomea. Matokeo yake mnatumia simu kudownlooad Video za ponograph, kuchat Whatsapp, instagram, sijui imo, na Telegram.

Yaani unaishi Dar alafu unapata sifuri wewe kama sio kichaa ni nani. Hakuna mwanafunzi mwenye akili timamu ambaye atasoma Dar apate sifuri. hata hiyo division four haiwezekani.

Haiwezekani jiji lenye chuo cha taifa, chuo kikuu cha Dar es salaam - UDSM , vyuo vingine vingi tuu kama CBE, IFM, NIT, DIT, Ardhi, Muhimbili n.k alafu bado mtu anapata zero huo si upunguani.Sisi wengine wamikoani vyuo vikuu tumeviona tulivyomaliza kidato cha sita. Tukaja mjini tukanyuka misonge tukasepa. Ninyi mmebaki kushangaana hapo kama vichaa.

Ujinga ni pamoja na kutokujua matumizi ya rasilimali. Yaani jiji lenu lina vyuo kama vyote, mnashindwa kwenda kujifunza hata kwa kaka zenu wa chuo. Mnatia aibu kwa kweli.

Jiji la Dar es Salaam ndio jiji pekee lenye vitabu, vitini, na madesa kuliko mkoa wowote hapa nchini. Lakini shangaa ndilo linaloongoza kwa sifuri nyingi ambazo ni zaidi ya mara mbili kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Iringa.

Nina uhakika jiji la Dar es salaam kama lisingekuwa na miundombinu wezeshi kama hiyo hakuna mwanafunzi ambaye angepata hata divisio four. Wote wangepata sifuri kwa sababu ni vilaza.

Jiji la Dar es Salaam hakuna changamoto ya usafiri. Kwa vile wamezoea mambo ya legelege utasikia kugombania daladala ni changamoto. Wewe ni kichaa kama utafikiri hivyo. Nenda mkoani uone wenzako wakitembea kilomita za kutosha zaidi ya masaa mawili na bado wakifika wachapwe bakora kwa kuchelewa. Wewe unatembea dakika mbili upo kwenye daladala huyo mpaka shule. Tena kwenye Daladala mnapiaga kelele wazazi wenu kwa sababu nao ni wendawazimu kama nyie. Yaani matoto yanapanda gari yanaanza kutukana, sijui hadithi ya msanii gani kafanya nini. Mara matusi kibao. Hapo kuna wazazi nao wanasikiliza kwa sababu nao ni walewale. Badala wawakanye ikiwezekana wawachape bakora za uhakika. Looh! Ndio mambo ya vilaza hayo.
Mkoani huwezi sikia ujinga ujinga kama huo. Nenda Misungwi huko, nenda muleba, nenda Rombo, Nenda Bukoba, Nenda Mbeya kama utasikia upuuzi huo.

Jiji la Dar es Salaam hakuna kazi ngumu kwa wanafunzi bado toto lipate sifuri kama sio ukilaza huo ni nini. Mkoani watu wanatoka shule wanasubiriwa na majani ya mbuzi, ng'ombe, kuni, kuchunga mifugo na kulima. Mtoto akirudi nyumbani akichelewa anakula mbata/bakora za uhakika na mzigo unamsubiria shambani. Lakini mwisho wa siku matokeo ya kidato cha nne anasimamisha msonge alafu wewe unayerudi nyumbani saa nane mchana unakalia kucheza PS, au unaenda kwenye mabanda umiza ya kina Acheche na Kimoda kuangalia Muvi unapata sifuri kwa ukilaza wako. Wewe ni kilaza na atakayekutetea ni kilaza bila kujali nafasi yake.

Huwezi ukafeli sehemu yenye shule zilizokaribu karibu.Jamani unashindwa kupata marafiki wa kitaaluma. Wenzako mkoani unakuta wilaya kata nzima kama sio wilaya shule ipo moja na bado anakupiga kipigo cha mbwa koko. Wewe bado uwe mzima kichwani.

Huwezi ukafeli ilhali kuna vipindi vya bungo kids sijui Skonga kwenye Luninga. Hivi unajua huko mikoani wenzako hivyo vipindi hawavijui kabisa kutokana na kutokuwepo na nyumba za umeme. Mfuate yule kijana wa Simiyu aliyechapa one ya Saba uone kama anajua hivyo vipindi. Usishangae kwao hakuna hata umeme. Alafu wewe unashindwa na mluga luga asiyeijua hata smartphone bado ujione kichwani zimo.

Watoto wa Dar es Salaam wanajiona wajanja lakini hakuna ujanja waliokuwa nao zaidi ya ujinga ujinga tuu. Wewe ukimuona kijana wa Dsm anaongea sana ujue kichwani hamna kitu. Usishangae kwa nini jiji hilo ni chafu kupita maelezo. Jibu ni kwa sababu ya ukilaza.

Wewee fikiria mtu anazibua chemba wakati wa mvua ikinyesha alafu yale mavi yanazagaa mtaani. Kama huo sio ukichaa ni nini.

Embu angalia mikoa inayofanya vizuri hapa nchini uone kama utaona hayo mambo ya hovyo. Embu nenda kule Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Kagera, Mbeya na Simiyu uone kama utakuta mambo hayo. Ujinga unaendana na uchafu. Ndio maana vichaa huwa ni wachafu na wanaishi kwenye majalala. Ndio sifa hiyo.

Wewe mtu mzima unapangiwa ratiba ya usafi bado ujione unaakili kweli. Kazi kusumbua viongozi.

Vitoto vya Dar es salaam ni moja ya vitoto vilivyo changanyikiwa. Yaani kitoto kidogo lakini mambo yake mazito. Unakuta kijana wa kiume katoboa pua na anasoma. Mara kanyoa kiduku, mara kabana suruali na matako kama shoga na bado kanasoma. Alafu Baba yupo, Mama yupo, Bibi yupo, Shangazi yupo, na anapewa ugali pumbavu kabisa. Alafu mtu aone nawatukana watu wa Dsm. Ninyi ni vilaza.

Ati mnasingizia maisha magumu huo ni uongo. Mngeishi huku mkoani kwa watabe. Huku maisha magumu lakini watu hawajiharibu kwa upuuzi.

Wanafunzi wa Dsm wanalala na wazungu lakini kingereza weupe yaani kapa. Mkoani watu wanalala na ng'ombe, kuku. mbuzi na kondoo chumba kimoja na bado kijana anamwaga ung'eng'e kama mzungu wa London.

Nakumbuka miaka nikiwa nasoma sekondari nilikutana na kijana maneno mengi wa Dsm. Yaani kijana anaongea yule sijapata kuona. Nikamuuliza swali dogo tuu la Biology kwamba aelezee Mechanism of Hearing. Dogo chali. Nikaona nimmalize kabisa, (physics) nikamwambia aelezee Paschal's Principle dogo jasho linamtoka. Nikasema huyu ili akiniona anisalimie kabisa nikamwambia (history) aelezee WWI. Hapa nilimuuliza swali la history ili nimpumzishe lakini kumbe hata hiyo WWI haijui. Nilishangaa akiongea habari za mieleka. Mama yangu! Nikamtemea mate usoni nikamwambia tokaa hapa! Kwa kweli aliniudhi mno. Japo tulishikana mashati lakini hatakuja kunisahau maana alibadilika na tulikutana Udsm. Alinambia dharau zangu zilimsaidia. Mate yangu yaligeuza upuuzi wake kuwa akili.

Ninachotaka kusema ni kuwa, Jiji la Dar es salaam mnatia aibu. Mbadilike. Ndio maana mnaitwa wanaume wa Dar. Yaani watu legelege.

Haiwezekani muwe na kila kitu bado mnafeli. Kama sio ukilaza huo ni nini.

Mwisho; Najua wapo wanaojitahidi hapa Dsm lakini mnamezwa na wanaoangua mayai viza. Wanawaabisha hao watu.

SIshangai kwenye media nikiona mambo ya hovyo, najua ni matokeo ya vilaza. Mtu anashabikia udaku, shilawadu, na upuuzi mwingine kama huo. Na wenye media nao kwa vile wengi wao ni vilaza wanaruhusu vipindi kuruka hewani. Kwa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa katika jiji letu hili.

Ukiishi Dar miaka mitano mfululuzi lazima akili yako iyumbe. Hii ni kutokana na mvutano utakaoupata kutoka kwa vilaza.

Wana- Dar es salaam tubadilike kwa maana mimi mwenyewe ni mkazi wa Dsm.

Ikumbukwe kuwa; nimeitumia Dar kama kielelezo cha mikoa yenye vilaza wa kutupa. Mikoa mingine ambayo sijaitaja ambayo inamiundombinu wezeshi lakini bado inafelisha, huu ujumbe pia unawahusu.

Robert Heriel
Taiko wa Fasihi
0693322300
Hoja yako inasaidia nn labda kwenye kukuza uchumi
 
Sasa kwa ambaye hajui hata Tuition huyo naye asemeje. Maana wanafunzi wa Mikoani wengi wao hawajui hiyo kitu inayoitwa Tuition Bado shule hazina waalimu na bado wanafanya poa.

Ukiwa kilaza hukosi sababu ya kushindwa. Ukiwa kipanga hukosi sababu ya kushinda
Wanafunzi wa mkoa gani hawajui tuition? Ni mkoa gani hapa nchini hawajui tuition wewe mtu, utaje hapa. Nikiwa Moshi nilikuwa naenda kupiga fitness paper mara kibao. Mwanza wana tuition nyingi mno, Tanga, Kagera, Mbeya. Watu wa uko nilisoma nao na walikuwa wanakuja wamekata mapindi. Yani wewe unaamini elimu iko Dar sio? Mimi nilijua Dar ni pa ovyo kusomea na ndo maana machaguo yangu yote haikuwepo.
 
Hujui kuwa mikoani, na wilayani, Kata, Mtaa, walimu wanaofundisha madarasani jioni wanajigeuza wa twisheni? Sikuhizi kila mkoa au Wilaya hukosi twisheni
Acha kubishana na mtu anayeandika mada kisha akaweka namba ya simu. Anadhani kusoma Fasihi mwenyewe ni sawa na masomo mengine. Ananiita kilaza afu yeye anajiona mkali wa fasihi [emoji23].
 
Mazingira ya kusomea Dar ni magumu sana labda shule iwe karibu atembee kwa dk kadhaa tu, lakini kama anapanda daladala ni mateso tu
 
Usiwatetee. Mtoto anaamka saa moja anaenda shule gani.

Kuhusu magari usilaumu, ukiwa mwalimu nenda stend unakuta kitoto kimesimama tu magari yanapita hapandi. Kuna mida konda nafanya kuita nyie twendeni, utasikia tunangojea gari la muddi.

Kuhusu wazazi muulize mara ya mwisho kukagua madaftari au hata kufika shule kuulizia maendeleo ya mtoto ni lini.

Usitetee ujinga,

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna rafiki yangu aliwahi simamisha gari awape lifti kiroho safi vikamjibu 'hatudanganyikiii'..ujuaji mwingi utasema vina bikra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kiongozi wa Mkoa mwenyewe taaluma yake ina walakini unategemea nini kwa Wanafunzi wa Dar es salaam
Kuna kipindi mkuu wao wa mkoa alikuwa anajimwambafai au ni ya darasa la saba?!

Alijimwambafai ,Elimu haikuwa kipaumbele chake, yeye anawaza Ubunge hapo ndiyo utaelewa dhamira ya wanasiasa.
 
DAR ES SALAAM NI JIJI LA VILAZA.

Na, Robert Heriel.

Sijawahi kuona wanafunzi vilaza kama wa Mkoa wa Dar es salaam. Wanafunzi wa Dar es salaam ni vilaza hujapata kuona popote dunia hii. Ni vilaza ambao hawajawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia. Wapende wasipende. Huo ndio ukweli. Ninyi ni Vilaza tena wa kutupa. Mnalitia taifa aibu kwa sifuri zenu.

Unajua maana ya mwanafunzi kilaza?
Ipo hivi; Kilaza ni mwanafunzi ambaye uwezo wake wa akili ni mdogo hata umuwekee mazingira wezeshi bado atabaki kuwa na uwezo mdogo.

Kwa maana hiyo na nyinginezo zinalifanya jiji la Dar es salaam kuwa jiji la Vilaza waliotukuka.

Haiwezekani jiji kubwa hapa nchini lenye miundombinu yenye unafuu bado lishindwe hata kuwa top ten ya mikoa. Mbaya zaidi ndilo linaloongoza kwa sifuri zilizotukuka. Huo ni ukilaza.
Wala hatuna muda wa kuongea maneno matamu katika hili. Yaani usome Dar es salaam bado upate sifuri wewe ni kiazi mbatata.

Dar es salaam karibu kila nyumba inaumeme. Nini kinafanya watoto wasisome mpaka wapate sifuri kama sio vichwa viazi. Iko hivi. Kama mtoto sio kiazi basi mlezi ndiye kiazi. Mtoto apate sifuri ilhali kuna umeme. Anapataje sifuri kwa mfano kama sio uzembe. Na uzembe ndio ukilaza wenyewe huo.

Watoto wanshindwa kuamka usiku wa manane kusoma? Haya hata wazazi wanashindwa kuwaamsha hao watoto kama wao wenyewe hawajitambui? Usijesema kuna kelele. Hiyo sio kweli. Mji wa Dar es salaam unaanza kupoa mida ya saa tatu usiku. Huo ni muda mzuri kwa mwanafunzi kujisomea. Akipeleka mpaka saa saba. Au alale kisha amke saa nane mpaka asubuhi kila siku kamwe hawezi kupata sifuri.

Jiji lina Tuition center kila kona. Ukigeuka huku mchikichini, huku mapambano, kule sijui nini huko. Yaani Tuition kila kona. Haya tuseme mzazi hana Pesa ya Tuition. Hivi mtoto kweli unashindwaje kuwa na marafiki wanaosoma tuition badala yake marafiki zako ni wacheza vigoma na mdundiko. Sijui Beach boy, sijui panya Road yaani utumbo utumbo tuu. Alafu unakuja kulitia aibu taifa.

Hivi unapataje sifuri kwenye jiji ambalo kila nyumba inammiliki wa Smartphone kama sio Laptop kabisa. Hivi mnashindwaje kudownload notes na material mbalimbali ya kujisomea. Matokeo yake mnatumia simu kudownlooad Video za ponograph, kuchat Whatsapp, instagram, sijui imo, na Telegram.

Yaani unaishi Dar alafu unapata sifuri wewe kama sio kichaa ni nani. Hakuna mwanafunzi mwenye akili timamu ambaye atasoma Dar apate sifuri. hata hiyo division four haiwezekani.

Haiwezekani jiji lenye chuo cha taifa, chuo kikuu cha Dar es salaam - UDSM , vyuo vingine vingi tuu kama CBE, IFM, NIT, DIT, Ardhi, Muhimbili n.k alafu bado mtu anapata zero huo si upunguani.Sisi wengine wamikoani vyuo vikuu tumeviona tulivyomaliza kidato cha sita. Tukaja mjini tukanyuka misonge tukasepa. Ninyi mmebaki kushangaana hapo kama vichaa.

Ujinga ni pamoja na kutokujua matumizi ya rasilimali. Yaani jiji lenu lina vyuo kama vyote, mnashindwa kwenda kujifunza hata kwa kaka zenu wa chuo. Mnatia aibu kwa kweli.

Jiji la Dar es Salaam ndio jiji pekee lenye vitabu, vitini, na madesa kuliko mkoa wowote hapa nchini. Lakini shangaa ndilo linaloongoza kwa sifuri nyingi ambazo ni zaidi ya mara mbili kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Iringa.

Nina uhakika jiji la Dar es salaam kama lisingekuwa na miundombinu wezeshi kama hiyo hakuna mwanafunzi ambaye angepata hata divisio four. Wote wangepata sifuri kwa sababu ni vilaza.

Jiji la Dar es Salaam hakuna changamoto ya usafiri. Kwa vile wamezoea mambo ya legelege utasikia kugombania daladala ni changamoto. Wewe ni kichaa kama utafikiri hivyo. Nenda mkoani uone wenzako wakitembea kilomita za kutosha zaidi ya masaa mawili na bado wakifika wachapwe bakora kwa kuchelewa. Wewe unatembea dakika mbili upo kwenye daladala huyo mpaka shule. Tena kwenye Daladala mnapiaga kelele wazazi wenu kwa sababu nao ni wendawazimu kama nyie. Yaani matoto yanapanda gari yanaanza kutukana, sijui hadithi ya msanii gani kafanya nini. Mara matusi kibao. Hapo kuna wazazi nao wanasikiliza kwa sababu nao ni walewale. Badala wawakanye ikiwezekana wawachape bakora za uhakika. Looh! Ndio mambo ya vilaza hayo.
Mkoani huwezi sikia ujinga ujinga kama huo. Nenda Misungwi huko, nenda muleba, nenda Rombo, Nenda Bukoba, Nenda Mbeya kama utasikia upuuzi huo.

Jiji la Dar es Salaam hakuna kazi ngumu kwa wanafunzi bado toto lipate sifuri kama sio ukilaza huo ni nini. Mkoani watu wanatoka shule wanasubiriwa na majani ya mbuzi, ng'ombe, kuni, kuchunga mifugo na kulima. Mtoto akirudi nyumbani akichelewa anakula mbata/bakora za uhakika na mzigo unamsubiria shambani. Lakini mwisho wa siku matokeo ya kidato cha nne anasimamisha msonge alafu wewe unayerudi nyumbani saa nane mchana unakalia kucheza PS, au unaenda kwenye mabanda umiza ya kina Acheche na Kimoda kuangalia Muvi unapata sifuri kwa ukilaza wako. Wewe ni kilaza na atakayekutetea ni kilaza bila kujali nafasi yake.

Huwezi ukafeli sehemu yenye shule zilizokaribu karibu.Jamani unashindwa kupata marafiki wa kitaaluma. Wenzako mkoani unakuta wilaya kata nzima kama sio wilaya shule ipo moja na bado anakupiga kipigo cha mbwa koko. Wewe bado uwe mzima kichwani.

Huwezi ukafeli ilhali kuna vipindi vya bungo kids sijui Skonga kwenye Luninga. Hivi unajua huko mikoani wenzako hivyo vipindi hawavijui kabisa kutokana na kutokuwepo na nyumba za umeme. Mfuate yule kijana wa Simiyu aliyechapa one ya Saba uone kama anajua hivyo vipindi. Usishangae kwao hakuna hata umeme. Alafu wewe unashindwa na mluga luga asiyeijua hata smartphone bado ujione kichwani zimo.

Watoto wa Dar es Salaam wanajiona wajanja lakini hakuna ujanja waliokuwa nao zaidi ya ujinga ujinga tuu. Wewe ukimuona kijana wa Dsm anaongea sana ujue kichwani hamna kitu. Usishangae kwa nini jiji hilo ni chafu kupita maelezo. Jibu ni kwa sababu ya ukilaza.

Wewee fikiria mtu anazibua chemba wakati wa mvua ikinyesha alafu yale mavi yanazagaa mtaani. Kama huo sio ukichaa ni nini.

Embu angalia mikoa inayofanya vizuri hapa nchini uone kama utaona hayo mambo ya hovyo. Embu nenda kule Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Kagera, Mbeya na Simiyu uone kama utakuta mambo hayo. Ujinga unaendana na uchafu. Ndio maana vichaa huwa ni wachafu na wanaishi kwenye majalala. Ndio sifa hiyo.

Wewe mtu mzima unapangiwa ratiba ya usafi bado ujione unaakili kweli. Kazi kusumbua viongozi.

Vitoto vya Dar es salaam ni moja ya vitoto vilivyo changanyikiwa. Yaani kitoto kidogo lakini mambo yake mazito. Unakuta kijana wa kiume katoboa pua na anasoma. Mara kanyoa kiduku, mara kabana suruali na matako kama shoga na bado kanasoma. Alafu Baba yupo, Mama yupo, Bibi yupo, Shangazi yupo, na anapewa ugali pumbavu kabisa. Alafu mtu aone nawatukana watu wa Dsm. Ninyi ni vilaza.

Ati mnasingizia maisha magumu huo ni uongo. Mngeishi huku mkoani kwa watabe. Huku maisha magumu lakini watu hawajiharibu kwa upuuzi.

Wanafunzi wa Dsm wanalala na wazungu lakini kingereza weupe yaani kapa. Mkoani watu wanalala na ng'ombe, kuku. mbuzi na kondoo chumba kimoja na bado kijana anamwaga ung'eng'e kama mzungu wa London.

Nakumbuka miaka nikiwa nasoma sekondari nilikutana na kijana maneno mengi wa Dsm. Yaani kijana anaongea yule sijapata kuona. Nikamuuliza swali dogo tuu la Biology kwamba aelezee Mechanism of Hearing. Dogo chali. Nikaona nimmalize kabisa, (physics) nikamwambia aelezee Paschal's Principle dogo jasho linamtoka. Nikasema huyu ili akiniona anisalimie kabisa nikamwambia (history) aelezee WWI. Hapa nilimuuliza swali la history ili nimpumzishe lakini kumbe hata hiyo WWI haijui. Nilishangaa akiongea habari za mieleka. Mama yangu! Nikamtemea mate usoni nikamwambia tokaa hapa! Kwa kweli aliniudhi mno. Japo tulishikana mashati lakini hatakuja kunisahau maana alibadilika na tulikutana Udsm. Alinambia dharau zangu zilimsaidia. Mate yangu yaligeuza upuuzi wake kuwa akili.

Ninachotaka kusema ni kuwa, Jiji la Dar es salaam mnatia aibu. Mbadilike. Ndio maana mnaitwa wanaume wa Dar. Yaani watu legelege.

Haiwezekani muwe na kila kitu bado mnafeli. Kama sio ukilaza huo ni nini.

Mwisho; Najua wapo wanaojitahidi hapa Dsm lakini mnamezwa na wanaoangua mayai viza. Wanawaabisha hao watu.

SIshangai kwenye media nikiona mambo ya hovyo, najua ni matokeo ya vilaza. Mtu anashabikia udaku, shilawadu, na upuuzi mwingine kama huo. Na wenye media nao kwa vile wengi wao ni vilaza wanaruhusu vipindi kuruka hewani. Kwa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa katika jiji letu hili.

Ukiishi Dar miaka mitano mfululuzi lazima akili yako iyumbe. Hii ni kutokana na mvutano utakaoupata kutoka kwa vilaza.

Wana- Dar es salaam tubadilike kwa maana mimi mwenyewe ni mkazi wa Dsm.

Ikumbukwe kuwa; nimeitumia Dar kama kielelezo cha mikoa yenye vilaza wa kutupa. Mikoa mingine ambayo sijaitaja ambayo inamiundombinu wezeshi lakini bado inafelisha, huu ujumbe pia unawahusu.

Robert Heriel
Taiko wa Fasihi
0693322300
Apo vipi mzee
IMG-20200112-WA0010.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ni jiji ninalolielewa kuliko mji niliozaliwa(Moshi)
Ninaishi Sinza Kwaremi karibu na Shamo Hotel. Njoo hapa nikutembeze katika mji huu uone kile ninachokisema.

Sijajua ni wapi nisipopajua kwa hapa Dsm.
Huko Mbagala maeneo ambayo nimeishi ni Mtongani, hapo kuanzia kwa Chang'ombe pale DUCE, Uhasibu, kwa Azizi Ali mpaka Mbagala unapoishi napafahamu fika. Sio kwa kuhadithiwa au kupita na daladala bali kwa kutembea. Mpaka unatokea kongowe unaacha barabara ya Mkuranga unakata kushoro kuelekea Twangoma, Mwembe Mtengu mpaka unatokea Kigamboni. Bado unasema sipajui Dar?

Tena huko ni porini. Njoo hapa City Center posta, Upanga, Muhimbili, Kariakoo, Jangwani, huyu hapa mpaka magomeni, manzese, Ubungo, bado useme sipajui. Au nikupitishie Tandale mpaka sinza, kijitonyama, mwananyamala, makumbusho. Bado siijui haka kamji.
Au unataka Mwenge, Mbezi beach, Tegeta, Boko, Basi Haya, Bunju, unavuka Daraja huyo unatokea mapinga kwenye shule ya Baobao sekondari huku ni bagamoyo.

Bado Dar sipajui, Unataka njia ya Ubungo, Kimara, mbezi mwisho, Kibamba huyo unaacha Dsm unapokelewa na Kibaha.

Au ni Msasani, Masaki, na Ostabey.

Wanafunzi wa Dar ni wavivu wala hakuna kujitetea.

Hoja ya usafiri sio kweli.

Hayo mazingira nisiyoyajua ni yapi.
Umekuja lini DSM meku?

Kwanini umekuja DSM meku?

Umekuja pekee? (Peke yako ni sehemu ktk mwili wa mwanaume, mvulana, mtoto wa kiume)

Una tarajia kurudi/kurejea moshi?
 
Back
Top Bottom