Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 9,374
- 10,700
Hakika hata Mimi nimeliona ana taja vituo vya daladala na mwendokasi...sawa mkuu nilipoona unataja maeneo tu nimegundua IQ yako ni ngapi. kila la kheri.
Hakika hata Mimi nimeliona ana taja vituo vya daladala na mwendokasi...sawa mkuu nilipoona unataja maeneo tu nimegundua IQ yako ni ngapi. kila la kheri.
Akishindwa kuelewa hapo basi tena msibishane nae
Vipawa vina sehemu yake... Kuna baadhi elimu hawaipi kipaumbele kabisa na wana tusua (namaanisha elimu ya darasani)Kwanza wazazi wawe na mwamko wa elimu. Ziwepo propramu mbalimbali za kuipa promo elimu. Iwe ni kwenye vyombo vya habari au mitandao na dini.
Shida ya Dsm ni kuwa ndio Mkoa ambao vijana wake wanaamini kuwa unaweza usisome na ukafanikiwa kwa kucheza kamari, kuuza madawa, usanii au kudanga. Hapo ndipo thamani ya elimu inaposhuka kwa kuwa watoto wanawaona wazazi wao, ndugu na jamaa ambao hawajasoma lakini wanapiga misheni town na wanaishi. Hivyo mtoto anaona hata asiposoma hawezi pata shida.
Hii ni tofauti na mikoani. Mkoani wazazi wanakauli ile usipo soma ndio basi tena utabaki kuwa mkulima hapa au mchungi wa mbuzi. Hapo inamlazimu mtoto kusoma.
Kinachotakiwa kufanyika ni ishu ya propaganda kuhusiana na elimu. Kuwa elimu ni muhimu na usipo soma utakosa mwanamke mzuri, utakosa maisha mazuri, utakosa kazi nzuri n.k
Lakini Dar ipo propaganda isemayo kusoma sio kufanikiwa maisha na mtu anapewa mifano isiyozidi kumu. Hapo atatajwa Diamond, Bakhresa n.k Matokeo watoto wote wanataka kuwa Diamond na wengine wanataka kuwa Amberutyy
Sawa MkuuKama kiongozi wa Mkoa mwenyewe taaluma yake ina walakini unategemea nini kwa Wanafunzi wa Dar es salaam
Alijimwambafai ,Elimu haikuwa kipaumbele chake, yeye anawaza Ubunge hapo ndiyo utaelewa dhamira ya wanasiasa.
mkuu inaonekana hata dar hujawahi kufika pole sana. ila pamoja na uliyaandika dar wanafunzi wanakabiliwa na changamoto nyingi sana zinazoathiri taaluma zao, nishawahi fundisha shule moja hapa jijini kwa miaka kadhaa. ukweli ni kwamba wanafunzi wanachangamoto nyingi ikiwemo suala la kuchelewa vipindi kwa sababu ya usafiri. ingekua ushawahi kufika ningekupa mfano mmoja, imagine mtoto anakaa ilala anasoma kijichi anabadilisha gari ngapi, amekataliwa marangapi na makondakta wa magari. au mtoto anakaa tabata anasoma manzese, anabadilisha gari ngapi huyo plus foleni. atafika saaa ngp shule. alafu huo utafiti wako dar kila nyumba inaumeme sijui ulifanyia wapi mkuu. kwa shule za serikali wanafunzi wanajitahidi wenyewe kwa asilimia kubwa. kijijini unakosemea ni kweli ila walimu wanawapambania sana madogo kuwafundisha tofauti na mjini. mjini wenye fedha wengi ndo wanafaulu ila kijijini ni tofauti bro
Hivi mwanafunzi anaeamka kila siku asubuhi, then mpaka saa 3 unamkuta yuko kwenye kituo cha daladala anapigana na makonda na kurushiana maneno ili apande afike shule.
Halafu shule kwenyewe anakutana na mwalimu mwenyewe choka mbaya asiye hata mood ya kufundisha aidha kwasababu ya uchumi mbovu mpaka nauli kakosa, amma usafiri wa shida au kadhalilishwa baada ya kumwonesha kitambulisho badala ya nauli.
Shule nyingi Dar ni Kutwa na usafiri ni vita. Sisi wenyewe wapanda madaladala kila siku Tunachoka Chaka Chaka, Seuse Wanafunzi ?
Sasa katika mazingira hayo halafu mwanafunzi anarudi nyumbani anafika saa 2 au tatu usiku, kachoka hata kujisomea hawezi.
Hapo Mwanafunzi Anafaulu Vipi ?
Vyuo vikuu vimejaa waliotoka mikoani na ndo wanakuwa vipanga.
Halafu najiuliza kwa nini mtu anatoka Tegeta anaenda kusoma Jitegemee? Huu si ndo ukilaza unaosemwa? Na kwa nini mnalazimisha kuishi Dar kwa shida wakati mikoani kuna kuna maisha rahisi?
Dar cyo vilaza. Takwimu za matokeo hazitolew Kama akir zinavyokutuma ,,mfano shule Ina wanafunzi 200 ,ikatokea 150 Wana decision one ,shule nyingine Ina wanafunzi 70 na wote Wana decision one ,inayohesabika imeshinda Ni shule yenye wanafunzi 70 .dar inaoneka kuwa kilaza kwa sababu Ina idad kubwa ya wanafunzi
Sijatumia ID fake mzee. Nimetumia majina kamili. Mtafute mwenye jina hilo Necta alafu urudi kutoa mrejesho hapa.
Vilaza ni nini?Sijawahi kuona wanafunzi vilaza kama wa Mkoa wa Dar es salaam. Wanafunzi wa Dar es salaam ni vilaza hujapata kuona popote dunia hii.
Huo utafiti umeufanya lini mpaka ukagundua hilo?Ni vilaza ambao hawajawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia
Wewe uliyekuwa ukikesha unasoma umefanya mabadiliko gani kwenye hili taifa?Watoto wanshindwa kuamka usiku wa manane kusoma? Haya hata wazazi wanashindwa kuwaamsha hao watoto kama wao wenyewe hawajitambui? Usijesema kuna kelele. Hiyo sio kweli. Mji wa Dar es salaam unaanza kupoa mida ya saa tatu usiku. Huo ni muda mzuri kwa mwanafunzi kujisomea. Akipeleka mpaka saa saba. Au alale kisha amke saa nane mpaka asubuhi kila siku kamwe hawezi kupata sifuri.
Tuition ya nini?Jiji lina Tuition center kila kona. Ukigeuka huku mchikichini, huku mapambano, kule sijui nini huko. Yaani Tuition kila kona. Haya tuseme mzazi hana Pesa ya Tuition
Weka ushahidi wa ulichoandika..Hivi mtoto kweli unashindwaje kuwa na marafiki wanaosoma tuition badala yake marafiki zako ni wacheza vigoma na mdundiko. Sijui Beach boy, sijui panya Road yaani utumbo utumbo tuu
Hiyo aibu ya taifa inaonekana na nani?Alafu unakuja kulitia aibu taifa.
Una uhakika gani kila nyumba inamiliki smartphone au laptop?Hivi unapataje sifuri kwenye jiji ambalo kila nyumba inammiliki wa Smartphone kama sio Laptop kabisa. Hivi mnashindwaje kudownload notes na material mbalimbali ya kujisomea. Matokeo yake mnatumia simu kudownlooad Video za ponograph, kuchat Whatsapp, instagram, sijui imo, na Telegram.
Nipe faida uliyoipata baada ya kujua history ya wazungu ya WWI.Nikamuuliza swali dogo tuu la Biology kwamba aelezee Mechanism of Hearing. Dogo chali. Nikaona nimmalize kabisa, (physics) nikamwambia aelezee Paschal's Principle dogo jasho linamtoka. Nikasema huyu ili akiniona anisalimie kabisa nikamwambia (history) aelezee WWI.
Thibitisha wanafunzi wa dar wanalala na wazungu na hawajui kiingereza..Wanafunzi wa Dsm wanalala na wazungu lakini kingereza weupe yaani kapa.
Hiyo aibu ametiwa nani?Ninachotaka kusema ni kuwa, Jiji la Dar es salaam mnatia aibu. Mbadilike. Ndio maana mnaitwa wanaume wa Dar. Yaani watu legelege.
Ulimuuliza kwanini amefeli?Hapa tu jukwaani unatetea mtoto kufeli. Huko nyumbani inakuwaje.
Zitaje hizo sababu.Wanafunzi wa Dar wana kila sababu za kuwafanya wafanye vizuri darasani, lakini wanachokifanya ni tofauti na uhalisia.
Nani amekwambia wengi wanaofeli ni watu wenye asili ya pwani?Halafu wanaoongoza kufeli wengi ni wenyeji wazawa wazaramo,wandengrleko na watu wenye asili ya pwani ndo wengi wazee wa vigodoro.
"Resources"Zitaje hizo sababu.
Vilaza ni nini?
Huo utafiti umeufanya lini mpaka ukagundua hilo?
Na umetumia vigezo gani kufanya utafiti huo?
Wewe uliyekuwa ukikesha unasoma umefanya mabadiliko gani kwenye hili taifa?
Elimu yako ya kukariri imekusaidia nini?
Tuition ya nini?
Weka ushahidi wa ulichoandika..
Hiyo aibu ya taifa inaonekana na nani?
Una uhakika gani kila nyumba inamiliki smartphone au laptop?
Weka huo utafiti uliofanya...?
Na uweke huo utafiti uliofanya ukaonyesha wanafunzi wa dar wanatumia simu kudownload pornograph, kuchat what's up, instagram, sijui imo na telegram...?
Nipe faida uliyoipata baada ya kujua history ya wazungu ya WWI.
Nipe faida uliyoipata baada ya kukariri Paschal's principle na umetumia kufanyia nini kwenye maisha yako mpaka leo hii...?
Thibitisha wanafunzi wa dar wanalala na wazungu na hawajui kiingereza..
Hiyo aibu ametiwa nani?
Nijibu hayo maswali machache au mada yako itakuwa imejaa hisia za chuki, mitazamo hasi binafsi, ubaguzi na upotoshaji.
Nilikuwa Tanga kuna shule ina wanafunzi 420 form one hadi four. Ukija pale mbagala kuna shule ya kata ina form one tu 600.
Nikajiuliza watoto 600 hata ukiwa mwalimu mzuri kiasi gani huwezi kukosa zero 300.Nilikuwa Tanga kuna shule ina wanafunzi 420 form one hadi four. Ukija pale mbagala kuna shule ya kata ina form one tu 600.