Tatizo Vijana Wa DSM ni Kuwaza Kusuka Mikeka mda wote, kutwa kupishana Mlangoni kwa kanjiBai
Robert, hoja yako ni ya msingi sana. Naona ujumbe umefika, ila hakuna cha kujitetea hapo, Dar ni lazima ijitafakari na kuchukua hatua.
Dar ina changamoto kubwa ya usafiri. Lazima mwanafunzi achoke na achakae.
Hebu waache hawa. Watafanya mengine, sio lazima kila mtu afaulu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana waliongoza bana kama sijakosea!
😀 😀 😀 😀 😀 😀Hili sio povu bali ni mashine ya kufulia kabisa...
#dumesuruali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi mkuu wao wa mkoa alikuwa anajimwambafai au ni ya darasa la saba?!Walikuwa nafasi ya 16 mwaka huu ya 18
nwaka jana iliongoza Kilimanjaro
Wanafunzi wa Dar wana kila sababu za kuwafanya wafanye vizuri darasani, lakini wanachokifanya ni tofauti na uhalisia.kweli mkuu
Kuna kipindi mkuu wao wa mkoa alikuwa anajimwambafai au ni ya darasa la saba?!
Vijana wa mikoani mna shida.Dar ni jiji ninalolielewa kuliko mji niliozaliwa(Moshi)
Ninaishi Sinza Kwaremi karibu na Shamo Hotel. Njoo hapa nikutembeze katika mji huu uone kile ninachokisema.
Sijajua ni wapi nisipopajua kwa hapa Dsm.
Huko Mbagala maeneo ambayo nimeishi ni Mtongani, hapo kuanzia kwa Chang'ombe pale DUCE, Uhasibu, kwa Azizi Ali mpaka Mbagala unapoishi napafahamu fika. Sio kwa kuhadithiwa au kupita na daladala bali kwa kutembea. Mpaka unatokea kongowe unaacha barabara ya Mkuranga unakata kushoro kuelekea Twangoma, Mwembe Mtengu mpaka unatokea Kigamboni. Bado unasema sipajui Dar?
Tena huko ni porini. Njoo hapa City Center posta, Upanga, Muhimbili, Kariakoo, Jangwani, huyu hapa mpaka magomeni, manzese, Ubungo, bado useme sipajui. Au nikupitishie Tandale mpaka sinza, kijitonyama, mwananyamala, makumbusho. Bado siijui haka kamji.
Au unataka Mwenge, Mbezi beach, Tegeta, Boko, Basi Haya, Bunju, unavuka Daraja huyo unatokea mapinga kwenye shule ya Baobao sekondari huku ni bagamoyo.
Bado Dar sipajui, Unataka njia ya Ubungo, Kimara, mbezi mwisho, Kibamba huyo unaacha Dsm unapokelewa na Kibaha.
Au ni Msasani, Masaki, na Ostabey.
Wanafunzi wa Dar ni wavivu wala hakuna kujitetea.
Hoja ya usafiri sio kweli.
Hayo mazingira nisiyoyajua ni yapi.
robert kwa hii comment yako inaonesha ujui kitu kuhusu dar, afu unaonekana wewe bado mgeni!Dar ni jiji ninalolielewa kuliko mji niliozaliwa(Moshi)