Dar es Salaam ni jiji la wanafunzi Vilaza

Dar es Salaam ni jiji la wanafunzi Vilaza

kazi yao kufundisha watoto kucheza vigodoro na taarabu tuu, matokeo yake ni uzalishaji wa mapunga na mama mipalange.
 
😀😀😀😀

Unaongea mambo ambayo wenzako tuliyajua tangu shule ya Msingi.

Unazungumzia nadharia za kitoto Kwa watu wazima😀😀😀

Afrika inatawaliwa mpaka kesho hao watalii na ukoloni mamboleo haviingiliani hata kidogo.
Labda Kwa elimu ya vijiwe vyenu vya DAR hapo Buza
Hilo ni jibu rahisi kwa swali gumu dogo huwezi!!

kama ulijua Africa inatawaliwa kwa nini na wewe ujifanye Mtalii Eti km mkoloni? kubali tu kuwa nimekufungua akili!! na division one yako hiyo! ungeyajua tangu shule ya msingi usingetambia ka division one ka Ihungo huko porini kwanza mwalimu gani kichwa atakaa huko ihungo??

Mashule yooote haya ya private!!! walimu vichwa wanachukuliwa kwa dau kubwa sana, na sifa zao zinasambaa km moto wa majani kavu kamwe hawakai huko Bukoba kwenye miundo mbinu fiche weee!!

Watalii ni wakoloni wale wale hata ukatae ni kwa kuwa hujui !! siyo rahisi Mzimbabwe asafiri akapande Mlima kilimanjaro hata wachaga wenyewe wa palepale hawafanyi hayo..... saana awe poters baasi!!

Hakuna mkurya/MNATA anaeshobokea eti kwenda kutalii porini Simba serengeti!! Ili iweje kwanza!! hata hao wakoloni wana Nyati, nyani, twiga simba kibao kwenye Mazoo yao huko ulaya wanakuja huku kuona simba kweli??

ili iweje kwanza! hujiulizi na elimu yako hiyo ya division one??? skills za maisha huna na hamfundishwi!! umesomea division one tuuu!! baasi tuki ku twist kidogo tu holaaa! yaani division one ni janja za kizamani sana!

kM hujui nakusaidia bure Matajiri/wanazuoni/watawala nguli/ waandishi maarufu nk! wanao fanya Maajabu Duniani wengi km si wote hawana division one!! tena wengine walishindwa kusoma kabisaaa!! acha ujima wee dogo!

kubali kuwa hujui kitu! unatalii kiluvya tena barabarani unaandika?? serious?? sasa kiluvya kwa Bwana Masamki unapajua weye? ulipo sikia utalii ni kupita barabarani basi ukaichukulia ivo?? ukakurupuka huyoo! weweee!!

acha siasa za kizamani hizo dogo!! na nyie washamba ndo zenu mnakriri sana Mitaa ya uzunguni!..ili ukasimulie vizuri kwa washamba wenzio!! ...hapa umekwama!! ukipita na ndege zambia, ni tayari umefika mweee!

ukitaka kujua huyu mtu ni mshamba bongo!! basi huyo atakariri kila kitu alicho kiona Bongo kuliko mwenyeji!! jiji lina kua hilo kila dakika rudi tena uone km utaikuta Bongo iko vilevile!!

hizi mambo waambiege wana kijiji wa mbwinde huko!! halafu yaishie hukohuko!...siyo sisi no!!! ume boogie mkuu! sawa mwana kijiji! hapa mji watu wapo kwa Madaraja!! siyo ukitembelea daraja lako dhaifu unachukulia ni wote wako ivo!!
usirudie tena....
 
Back
Top Bottom