Dar es salaam-Kinshasa Railway lazima ijengwe

Mkuu "sphere of influence ya Rwanda" sasa ni histori mbona huelewi somo.

Itakuwa historia kwa dakika ngapi? Hilo ndilo swali.

Sasa ni historia kwa sababu kuna majeshi kule, majeshi yatabaki huko mpaka lini?

Ndiyo maana nikasema labda tuweke na kambi za jeshi permanently huko kabisa.
 
Mkuu tusolochukulie swala la East Congo kama la Tanzania na Rwanda tu,
UN imewekeza majeshi huko na kuna Malawi , South Africa na nchi nyingine.
Uwezo wa UN katika maswala haya halina mjadala.
Tatizo sisi kama Tz tusilichukulie tu kama conflict lets benefit from it, any prudent business person will do that.
 
Wakati mwingine nikisoma maoni ya Watanzania wenzangu kuhusu Congo najisikia kusikitika sana yaani mpaka wakati mwingine nafikia hatua ya kumlaumu Mwl Nyerere kwa kutupandikiza fikra za ajabu ajabu za kufikiria kuwasaidia wengine wakati kwako ndio kuna shida zaidi au hizi fikra za kudhani sisi tuna jeshi bora kuliko wengine kwahiyo tunalitumia kuwakomoa hao wengine.Kinachoendelea huko Congo naona wengi hapa tuna hisia kama za kuikomoa Rwanda hivi,Sijui walitukosea nini?Inavyoelekea wengi wetu hapa tunapima mafanikio yetu kule DRC kivita zaidi kuliko hata kiuchumi,Ni mentality ambayo tumekuwa nayo tangu enzi za Nyerere.Na hili ni tatizo la Taifa zima,Kila mmoja wetu hatumii muda wake ipasavyo kushauri nini kifanyike au kushiriki katika kuujenga uchumi wa Nchi hii.
 
Kinachokusikitisha ni nini? Fafanua
 
Rais Kikwete, katika moja ya hotuba zake zenye afadhali kidogo -iliyosababisha kerfuffle na Kagame - alisema kwamba suluhu ya kijeshi huko Rwanda /mashariki mwa Congo ni ya muda mfupi tu, suluhisho la muda mrefu linatakiwa kuwa la kisiasa, kwa watu kukaa chini na kumaliza tofauti zao kwa mazungumzo.

Hofu yangu ni kwamba, hatujapata suluhisho lisilo la kijeshi tushaanza kuongelea reli?

Reli itapeleka nini wapi? Kwa gharama gani na kwa kupitia wapi? Kwenye hinterland gani yenye miji mingapi na watu wangapi? (Tusije kufanya kama Henry Ford alivyojenga "Fordlandia" katikati ya msitu wa Amazon huko akajikuta hawezi hata kufanya rubber production kutokana na matatizo ya the Amazon).

Biashara imeonekanaje kuweza ku justify ujenzi? Return on Investment itarudi kwa muda gani? Gharama zitakuwa kiasi gani cha GDP? Haya ndiyo yatakuwa matumizi mazuri kabisa ya fedha hizi? Nani atajenga? Nani atafanyia matengenezo endelevu? Kwa gharama gani?

Nani atalipia hizi reli? Nani ataendesha hizi reli? Reli zetu za sasa tumejifunza yapi ambayo yanaweza kujirudia kwenye reli hii mpya? Tutafanya nini ili yasijirudie?
 
Mkuu tusolochukulie swala la East Congo kama la Tanzania na Rwanda tu,
UN imewekeza majeshi huko na kuna Malawi , South Africa na nchi nyingine.
Uwezo wa UN katika maswala haya halina mjadala.
Tatizo sisi kama Tz tusilichukulie tu kama conflict lets benefit from it, any prudent business person will do that.

Hujajibu swali, majeshi yatakuwa huko kwa muda gani?

UN politics zinavyo fluctuate kama upepo unajuaje kesho Kabila hatapinduliwa, UN waondoe majeshi na mpango mzima wa kutegemea UN u fall flat?

Unapanga safari kwa gari la jirani?
 
Reli ipi ijengwe wakati reli zilizopo mnazidi kuzibunia mikakati ya kuziua?
Na ndiyo sababu wenzetu kaona kutushirikisha ni kujaza viti tu katika vikao vyao vya maamuzi, maana waliona tuna opportunities nyingi lakini hatuzitumii. Miundo mbinu ya reli ipo lakini mashiriki yote yapo taabani, mbaya zaidi wakaona tunapoteza hela nyingi kukarabati barabara, badala ya kutumia reli iliyopo, wakaona mikakati ya nchi yetu ni ya maslahi ya watu wachache zaidi na wala hayana ustawi kwa taifa ndiyo maana, wakaamua kwenda kivyao.
Hapa mchawi ni watanzania wenyewe, wala msilie kutengwa, hata huyo mkongo, very soon mtaona akipata akili zake atakavyobadirika na kuwageuka. Sijui mtalia na nani?
 
Wakati mwingine nikisoma maoni ya Watanzania wenzangu kuhusu Congo najisikia kusikitika sana yaani mpaka wakati mwingine nafikia hatua ya kumlaumu Mwl Nyerere kwa kutupandikiza fikra za ajabu ajabu za kufikiria kuwasaidia wengine wakati kwako ndio kuna shida zaidi au hizi fikra za kudhani sisi tuna jeshi bora kuliko wengine kwahiyo tunalitumia kuwakomoa hao wengine.
(1)Kinachoendelea huko Congo naona wengi hapa tuna hisia kama za kuikomoa Rwanda hivi,Sijui walitukosea nini?
(2)Inavyoelekea wengi wetu hapa tunapima mafanikio yetu kule DRC kivita zaidi kuliko hata kiuchumi,

Ni mentality ambayo tumekuwa nayo tangu enzi za Nyerere.Na hili ni tatizo la Taifa zima,

(3)Kila mmoja wetu hatumii muda wake ipasavyo kushauri nini kifanyike au kushiriki katika kuujenga uchumi wa Nchi hii.

Kinachokusikitisha ni nini? Fafanua

Mkuu TECH WIZ naona post yako ya maswala matatu yameamsha maswali ambayo hata SHERRIF ARPAIO anashangaa kama mimi nainavyo shangaa.
Katika (1) naamini pengine huna habari juu ya kukaliwa kwa mabavu kwa Goma na sehemu yote ya Kivu na majeshi ya PK kwa kuwatumia M23. Vile vile naamini kuwa huna habari juu ya threat ya wazi ya PK kwa JK kuwa atamfanfanyizia!!!
Rais wa nchi anamtisha rais wa nchi nyingine-ngumu kumesa.

Tukiachana na conflict, katika (2) na (3) mada hii yote ni ya kujadili mambo yanayopaswa kufanywa KIUCHUMI na WAKATI HUU na jirani zetu wa Kongo, pengine hujaipitia mada kikamilifu.

Hebu jielekeze katika kujadili yale yaliyomo katika thread hii-namna ya kunufaika na yanayotokea Kongo, kama majirani.
 
Last edited by a moderator:
Rais Kikwete, katika moja ya hotuba zake zenye afadhali kidogo -iliyosababisha kerfuffle na Kagame - alisema kwamba suluhu ya kijeshi huko Rwanda /mashariki mwa Congo ni ya muda mfupi tu, suluhisho la muda mrefu linatakiwa kuwa la kisiasa, kwa watu kukaa chini na kumaliza tofauti zao kwa mazungumzo.

Hofu yangu ni kwamba, hatujapata suluhisho lisilo la kijeshi tushaanza kuongelea reli?

Reli itapeleka nini wapi? Kwa gharama gani na kwa kupitia wapi? Kwenye hinterland gani yenye miji mingapi na watu wangapi? (Tusije kufanya kama Henry Ford alivyojenga "Fordlandia" katikati ya msitu wa Amazon huko akajikuta hawezi hata kufanya rubber production kutokana na matatizo ya the Amazon).

Biashara imeonekanaje kuweza ku justify ujenzi? Return on Investment itarudi kwa muda gani? Gharama zitakuwa kiasi gani cha GDP? Haya ndiyo yatakuwa matumizi mazuri kabisa ya fedha hizi? Nani atajenga? Nani atafanyia matengenezo endelevu? Kwa gharama gani?

Nani atalipia hizi reli? Nani ataendesha hizi reli? Reli zetu za sasa tumejifunza yapi ambayo yanaweza kujirudia kwenye reli hii mpya? Tutafanya nini ili yasijirudie?

Mkuu ukishaanza kujishinikiza kwa matatizo kabla ya kuanza miradi yenyewe ambayo ni lazima itakuwa endelevu, basi hatutotoka kwenye lindi la umasikini.
Lets dream and fulfil our dreams.
Leo Kongo inajeng Inga Dam, na bado hata hawajui watailipia vipi.
Lakini the venture ime attract venture capital na hata Zuma amesaini mkataba wa kuwa mbia katika mradi huo.
Lets dream and fulfil our dreams.
 
Hujajibu swali, majeshi yatakuwa huko kwa muda gani?

UN politics zinavyo fluctuate kama upepo unajuaje kesho Kabila hatapinduliwa, UN waondoe majeshi na mpango mzima wa kutegemea UN u fall flat?

Unapanga safari kwa gari la jirani?
Sijalijibu swali hili kwa vile hata miaka kadhaa iliyopita katika ukombozi wa Afrika Kusini, tena tulipokuwa wenyewe, hatukudiriki kuliuliza, lakini leo tunajijua tupo wapi.
 
Lakini hatujijui tunapokwenda kuhusu mashariki ya Congo mpaka angalau swali hili litakapojibiwa.

Na katika masuala ya uchumi, kupata mwangaza kuhusu tunapokwenda ni muhimu kuliko kujua tulipo tu.
 
Mkuu ukishaanza kujishinikiza kwa matatizo kabla ya kuanza miradi yenyewe ambayo ni lazima itakuwa endelevu, basi hatutotoka kwenye lindi la umasikini.
Lets dream and fulfil our dreams.
Leo Kongo inajeng Inga Dam, na bado hata hawajui watailipia vipi.
Lakini the venture ime attract venture capital na hata Zuma amesaini mkataba wa kuwa mbia katika mradi huo.
Lets dream and fulfil our dreams.

Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "White Elephant Projects"?

Wewe unasisitiza tuangalie uchumi, unaulizwa maswali ya kiuchumi, unasema tusiulize maswali sana, tuote ndoto tu.

Hujui reli inajengwa kwa gharama gani.

Hujui kuna biashara gani huko unakotaka tujenge reli.

Hujui kama kunajengeka reli at all.

Hujui hata kama kunajengeka, kurudisha hela kutatuchukua miaka mingapi (au kama tutarudisha fedha at all)

Hujui gharama za kuendesha reli zitakuwa kiasi gani.

Hujui nani ataendesha reli.

Unaona ramani unataka kuchora mstari tu iwepo reli, hujui wapi kuna mlima, wapi kuna bwawa, wapi msitu mnene, wapi mji.

Unataka kuota tu!
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: center"]‘White Elephant' Projects
‘White Elephant' Projects[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TH="width: 60%, align: center"]Chapter 5. Overcoming the ‘White Elephant' Syndrome in Big and Iconic Projects in the Public and Private Sectors[/TH]
[TD="width: 20%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[h=2]‘White Elephant' Projects[/h]
Many of these ‘big,' ‘iconic' projects too frequently degenerate into what has been described as ‘white elephant' projects (Scott 1992). ‘White elephant' projects are not only often large and expensive to build and take longer than originally estimated, but also form and ‘prestige' so dominate over function that the project never performs satisfactorily either in terms of stated role, unclear as it is often is, or financially. Moreover, what really make these projects ‘white elephants' is that they become expensive to maintain because of poor design, confused role and lack of what may be best described as a ‘business case' for their very initiation. These problems are most explicitly seen in those projects in the arts such as art galleries and museums where even in the best of circumstances purpose is often ill-defined and clear criteria for success, difficult to articulate. Such buildings are characterised by a failure to meet anticipated attendance levels and frequently need repeated and expensive refurbishments that often cost more than their original construction. Scott (1992) reminds us of ‘white elephant' projects covering many other areas ranging from technology parks, very fast train proposals, spaceports, to the famed multifunction polis.

Of course, ‘white elephant' projects are not limited to the public sector. Examples in the tourism industry include the construction by various entrepreneurs during the late 1980s and early 1990s of numerous ‘prestige' and ‘iconic' resorts up and down the Queensland coast. Most ran at a huge losses and were usually on-sold several times at a fraction of their original development costs. Indeed, many of these resorts today, although apparently viable, are only profitable in terms of their operating, rather than full capital costs (Syvret and Syvret 1996) and have become viable by considerable changes in their scope and range of activities. Development of strata title units for on-selling has been one strategy used for these tourism developments. So numerous are ‘white elephant' projects that one commentator suggested they were not limited to one off examples, but had become a ‘herd' that pervaded the Australian landscape too frequently (Scott 1992).
 
Reli ipi ijengwe wakati reli zilizopo mnazidi kuzibunia mikakati ya kuziua?
Na ndiyo sababu wenzetu kaona kutushirikisha ni kujaza viti tu katika vikao vyao vya maamuzi, maana waliona tuna opportunities nyingi lakini hatuzitumii. Miundo mbinu ya reli ipo lakini mashiriki yote yapo taabani, mbaya zaidi wakaona tunapoteza hela nyingi kukarabati barabara, badala ya kutumia reli iliyopo, wakaona mikakati ya nchi yetu ni ya maslahi ya watu wachache zaidi na wala hayana ustawi kwa taifa ndiyo maana, wakaamua kwenda kivyao.
Hapa mchawi ni watanzania wenyewe, wala msilie kutengwa, hata huyo mkongo, very soon mtaona akipata akili zake atakavyobadirika na kuwageuka. Sijui mtalia na nani?

Shida ya mswahili ukimwambia ukweli kama huu unakua kama umemtukania mama ake.THIS IS THE FACT MAN HAWAELEWEI HAWA JAMAA
 
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "White Elephant Projects"?

Wewe unasisitiza tuangalie uchumi, unaulizwa maswali ya kiuchumi, unasema tusiulize maswali sana, tuote ndoto tu.

Hujui reli inajengwa kwa gharama gani.

Hujui kuna biashara gani huko unakotaka tujenge reli.

Hujui kama kunajengeka reli at all.

Hujui hata kama kunajengeka, kurudisha hela kutatuchukua miaka mingapi (au kama tutarudisha fedha at all)

Hujui gharama za kuendesha reli zitakuwa kiasi gani.

Hujui nani ataendesha reli.

Unaona ramani unataka kuchora mstari tu iwepo reli, hujui wapi kuna mlima, wapi kuna bwawa, wapi msitu mnene, wapi mji.

Unataka kuota tu!
As I can see mkuu wewe ni msomi mzuri tu.
Wasomi huwa hawana hunch for profitable ventures.
 
Rais Kikwete, katika moja ya hotuba zake zenye afadhali kidogo -iliyosababisha kerfuffle na Kagame - alisema kwamba suluhu ya kijeshi huko Rwanda /mashariki mwa Congo ni ya muda mfupi tu, suluhisho la muda mrefu linatakiwa kuwa la kisiasa, kwa watu kukaa chini na kumaliza tofauti zao kwa mazungumzo.

Hofu yangu ni kwamba, hatujapata suluhisho lisilo la kijeshi tushaanza kuongelea reli?

Reli itapeleka nini wapi? Kwa gharama gani na kwa kupitia wapi? Kwenye hinterland gani yenye miji mingapi na watu wangapi? (Tusije kufanya kama Henry Ford alivyojenga "Fordlandia" katikati ya msitu wa Amazon huko akajikuta hawezi hata kufanya rubber production kutokana na matatizo ya the Amazon).

Biashara imeonekanaje kuweza ku justify ujenzi? Return on Investment itarudi kwa muda gani? Gharama zitakuwa kiasi gani cha GDP? Haya ndiyo yatakuwa matumizi mazuri kabisa ya fedha hizi? Nani atajenga? Nani atafanyia matengenezo endelevu? Kwa gharama gani?

Nani atalipia hizi reli? Nani ataendesha hizi reli? Reli zetu za sasa tumejifunza yapi ambayo yanaweza kujirudia kwenye reli hii mpya? Tutafanya nini ili yasijirudie?
nafikiri Kiranga , huku ukijua kwamba kwa zaidi ya mwezi moja wakongo wamekuwa wakijadiliana jinsi gani ya kutatua matatizo yao ya ndani, na resolution moja wapo ni kuletwa Mabaki ya Mabutu kuzikwa DRC. ni hawa M23 tu ambao hawakushiriki au kushirikishwa kwa sababu ya attitude yao ya kutaka kuilazimisha serikali ifanye jinsi wao wana vyotaka. Hivyo hicho alicho ongelea JK kimefanyika na kina endelea kufanyika.
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: center"]‘White Elephant' Projects
‘White Elephant' Projects[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%, align: left"][/TD]
[TH="width: 60%, align: center"]Chapter 5. Overcoming the ‘White Elephant' Syndrome in Big and Iconic Projects in the Public and Private Sectors[/TH]
[TD="width: 20%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

‘White Elephant' Projects

Many of these ‘big,' ‘iconic' projects too frequently degenerate into what has been described as ‘white elephant' projects (Scott 1992). ‘White elephant' projects are not only often large and expensive to build and take longer than originally estimated, but also form and ‘prestige' so dominate over function that the project never performs satisfactorily either in terms of stated role, unclear as it is often is, or financially. Moreover, what really make these projects ‘white elephants' is that they become expensive to maintain because of poor design, confused role and lack of what may be best described as a ‘business case' for their very initiation. These problems are most explicitly seen in those projects in the arts such as art galleries and museums where even in the best of circumstances purpose is often ill-defined and clear criteria for success, difficult to articulate. Such buildings are characterised by a failure to meet anticipated attendance levels and frequently need repeated and expensive refurbishments that often cost more than their original construction. Scott (1992) reminds us of ‘white elephant' projects covering many other areas ranging from technology parks, very fast train proposals, spaceports, to the famed multifunction polis.

Of course, ‘white elephant' projects are not limited to the public sector. Examples in the tourism industry include the construction by various entrepreneurs during the late 1980s and early 1990s of numerous ‘prestige' and ‘iconic' resorts up and down the Queensland coast. Most ran at a huge losses and were usually on-sold several times at a fraction of their original development costs. Indeed, many of these resorts today, although apparently viable, are only profitable in terms of their operating, rather than full capital costs (Syvret and Syvret 1996) and have become viable by considerable changes in their scope and range of activities. Development of strata title units for on-selling has been one strategy used for these tourism developments. So numerous are ‘white elephant' projects that one commentator suggested they were not limited to one off examples, but had become a ‘herd' that pervaded the Australian landscape too frequently (Scott 1992).
sasa Kiranga ukizungumzia white Elphant basi hao wakoloni wasinge jenga reli miaka hiyo, ukitilia maanani Ukulima wetu ulikuwa chini, sasa hivi Production ya Mahindi mkoa wa Rukwa/Katavi ipo juu? viwanda ingawa si saana vipo, mizigo imported ipo, sasa hapo tu mizigo ya ndani inaweza ku-break even, sasa hayo mengine ya DRC na nchi nyingine ni ya ziada. na kama unaona hiyo theory yangu au facts haijipi? basi iweje kwa wenzetu ijipe? wana nini tofauti in terms of trade and production ifanye yao iwe ya mafanikio? maana sasa hivi na urasimu wetu tunaona biashara na uzalishaji upo ndio maana Ma lorry yana safiri, sasa tukiondoa au kupunguza huo uzembe ni wazi tija itakuwa kubwa, hivyo tuanze sasa tukitajiria hivyo vitu vitakutana.
 
That's a great idea,we still have more economically strong neghbours to corporate with for our remarkable economic growth rather than a micro country like Rwanda. I suggest we don't waste our time thinking about that insteady strengthen our political and economic plans with countries which will reall benefit our ports at large...these are the likes of Congo DRC and Zambia and even to Zimbabwe via Zambia, Burundi will outomatically be in the big plan with Congo when the western corridor is potentially open for remarkable trading........Sisi si taifa la kuviomba msamaha vi inchi kama Rwanda.
 
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "White Elephant Projects"?

Wewe unasisitiza tuangalie uchumi, unaulizwa maswali ya kiuchumi, unasema tusiulize maswali sana, tuote ndoto tu.

Hujui reli inajengwa kwa gharama gani.

Hujui kuna biashara gani huko unakotaka tujenge reli.

Hujui kama kunajengeka reli at all.

Hujui hata kama kunajengeka, kurudisha hela kutatuchukua miaka mingapi (au kama tutarudisha fedha at all)

Hujui gharama za kuendesha reli zitakuwa kiasi gani.

Hujui nani ataendesha reli.

Unaona ramani unataka kuchora mstari tu iwepo reli, hujui wapi kuna mlima, wapi kuna bwawa, wapi msitu mnene, wapi mji.

Unataka kuota tu!

Mkuu nimependa hii. Na huyu unaye mjibu ni mmoja wa watu wa karibu sana na JK na Membe! Na amesoma Uchumi,UDSM!

Lakini pengine kichekesho zaidi ni mleta sredi anaye sema tujenge reli Dsm - Kinshasa!! Sijui kama hata ana idea Kinshasa iko karibu na bahari ya Atlantic,na wazo la aina hiyo ni wendawazimu!

Baadhi ya wachangiaji wanajenga miundombinu kama reli na barabara hewani,miundombinu ya kufikirika! Lakini wanashindwa kutambua jambo muhimu kwamba hicho wanacho waza kimeshindikana kwasababu ya utawala mbovu!

Ndani ya uzalendo huo wa kijinga hakuna anayehoji kwanini watawala wetu wameua reli zetu! Majirani waendelea kuangalia upuuzi wetu eti kwasababu sisi ni watu wa pole pole?! Wakitafuta njia mbadala nalo kosa!!

Mkuu nikisoma maoni ya vijana wetu na kuangalia ambavyo hata vyama vya upinzani vimekaa kimya kama kwamba Tanzania ni kisiwa,napata uchungu kusema mageuzi bado yapo mbali sana. 2015 ni CCM tena!
 
Back
Top Bottom