CCM akili zenu mmeziacha sehemu za ****Hapa Dar es salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika.
Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya kusambaa kwa virusi vya Corona ni kupitia mikono nadhani hii imesaidia sana hapa Dar watu wasife kwa maelfu kwa siku kama huko Marekani, unless Marekani haina uwezo wa kifedha wa kununua ndoo milioni kadhaa za kunawia ndani ya siku chache, nawashauri waige utaratibu huu wa kuweka ndoo za kunawia mitaani kama tulivyofanya Dar.
Pia jambo lingine linalotusaidia Dar kwa sasa ni hili la kuvaa barakoa kwa lazima, inaonekana kule Marekani barakoa ni ghali sana na kuna hatari ya watumishi wa afya kukosa barakoa endapo itatangazwa lazima kuvaa barakoa kabla ya kutoka nje.
Ndio maana wakasema kuvaa barakoa ni kwa wanaoumwa tu, lengo lao ni ili kuwaokoa watumishi wa afya ili wasikose barakoa, nitoe wito kwa serikali ya Marekani kuruhusu watu wajishonee barakoa zao wenyewe na iwe lazima kuvaa kabla ya kutoka nje.
Ifahamike kwamba unapokohoa ile barakoa inasaidia virusi visiende mbali.
Ndugu yangu haufanani na hili swali.Hapa Dar es salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika.
Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya kusambaa kwa virusi vya Corona ni kupitia mikono nadhani hii imesaidia sana hapa Dar watu wasife kwa maelfu kwa siku kama huko Marekani, unless Marekani haina uwezo wa kifedha wa kununua ndoo milioni kadhaa za kunawia ndani ya siku chache, nawashauri waige utaratibu huu wa kuweka ndoo za kunawia mitaani kama tulivyofanya Dar.
Pia jambo lingine linalotusaidia Dar kwa sasa ni hili la kuvaa barakoa kwa lazima, inaonekana kule Marekani barakoa ni ghali sana na kuna hatari ya watumishi wa afya kukosa barakoa endapo itatangazwa lazima kuvaa barakoa kabla ya kutoka nje.
Ndio maana wakasema kuvaa barakoa ni kwa wanaoumwa tu, lengo lao ni ili kuwaokoa watumishi wa afya ili wasikose barakoa, nitoe wito kwa serikali ya Marekani kuruhusu watu wajishonee barakoa zao wenyewe na iwe lazima kuvaa kabla ya kutoka nje.
Ifahamike kwamba unapokohoa ile barakoa inasaidia virusi visiende mbali.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kila baada ya mita tatu nje ya nyumba kuna koki za maji tiririka mijini?Kwasababu Marekani kuna maji tiririka, hizo ndoo unazoziona ni ushahidi wa uhaba wa maji tiririka Tanzania.
Kuna koki za maji tiririka nje kila baada ya mita tatu?Kweli Tanzania ni donor country kwa mawazo haya.
Kwani ni lini beberu amewahi kutumia maji tiririka kwenye ndoo kunawa?
Hawana uhaba wa maji Bomba zao zinatililisha maji muda wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila baada ya mita tatu nje kabla ya kuingia sehemu yeyote kuna koki za maji tiririka?Maji tiririka yapo sehemu ya kulia chakula na jikoni katika nyumba nyingi
Kuna koki za maji tiririka kila baada ya mita tatu nje mitaani?Nimesema Marekani maji kuna maji tiririka katika sehemu nyingi. Kwanza kuzuia maambukizi ya magonjwa. Kila mwenye mgahawa anatakiwa kuwa na maji tiririka kwa wafanyakazi kunawa mikono.
Kuna koki nje za maji tiririka kila baada ya mita tatu ambapo mtu yeyote anaweza kunawa bila rugusa?Mkuu huko marekani ni nyumba ngapi umeziona haziko connect na water supply system,kwamba hazina maji so zilazimike kutumia ndo Kama kwenu
Wewe umejuaje USA kuna Corona? Ulienda ukadhibitisha?Mkuu Umeenda Marekani kuthibitisha ilo au umeona kwenye Tv kuwa ilo suala limewashinda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ni kwa ajili ya kunawa uchafu au kuua virusi vya Corona katika hii mada?Kule hakuna uchafu kama huku kwetu
Achen us.nge nyie. Hata marekan hukujui tuulize sis ambao tushazunguka huko..mtoa mada kaongelea mapambano ya korona..kunawa mikono mara kwa mara..maeneo yote..haya bank.maofisin na n.k bila vitirirsha maji temporaly kama ndoo unawezaje..maj tiririka unayosema huko marekan utayakuta wash rooms na jikoni..so unaenda bank kunawa ni lazima uingie choon..usitake danganya watu hapa..unaenda dukan.kunawa mikono lazima uende washroom ..wakat unasisitizwA kabla hujaingia kokote kuchangamana lazima unawe.na pia si kupaka sanitizer tuu kunawa maj tiririsha ni lazima..wamefail hapo na ndomana wanakufa sana.Mkuu huko marekani ni nyumba ngapi umeziona haziko connect na water supply system,kwamba hazina maji so zilazimike kutumia ndo Kama kwenu
Pole sana mkuu.wewe marekani unakojua hakuna maji au sanitizer ni marekani ipi na umejuaje kuwa Mimi Marekani sikujui?Achen us.nge nyie. Hata marekan hukujui tuulize sis ambao tushazunguka huko..mtoa mada kaongelea mapambano ya korona..kunawa mikono mara kwa mara..maeneo yote..haya bank.maofisin na n.k bila vitirirsha maji temporaly kama ndoo unawezaje..maj tiririka unayosema huko marekan utayakuta wash rooms na jikoni..so unaenda bank kunawa ni lazima uingie choon..usitake danganya watu hapa..unaenda dukan.kunawa mikono lazima uende washroom ..wakat unasisitizwA kabla hujaingia kokote kuchangamana lazima unawe.na pia si kupaka sanitizer tuu kunawa maj tiririsha ni lazima..wamefail hapo na ndomana wanakufa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji tiririka ni mbadala wa sanitizer kwa sisi masikini mkuu.I am sorry for you labda wewe umeifananisha U.S na meleraniAchen us.nge nyie. Hata marekan hukujui tuulize sis ambao tushazunguka huko..mtoa mada kaongelea mapambano ya korona..kunawa mikono mara kwa mara..maeneo yote..haya bank.maofisin na n.k bila vitirirsha maji temporaly kama ndoo unawezaje..maj tiririka unayosema huko marekan utayakuta wash rooms na jikoni..so unaenda bank kunawa ni lazima uingie choon..usitake danganya watu hapa..unaenda dukan.kunawa mikono lazima uende washroom ..wakat unasisitizwA kabla hujaingia kokote kuchangamana lazima unawe.na pia si kupaka sanitizer tuu kunawa maj tiririsha ni lazima..wamefail hapo na ndomana wanakufa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you kidding?hapo umedanganya,ofisi nyingi hata huko ulaya utaratibu wa sehemu za kunawa hupo chooni ndo utakuta sehemu ya kunawa.kwa mfumo tulio weka sisi uwezi kuingia sehemu yoyote lazima unawe.
kuna mda watanzaniatu ujinga wa kuona kila tunalo fanya sio zuri kuliko la mzungu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahahaha!Achen us.nge nyie. Hata marekan hukujui tuulize sis ambao tushazunguka huko..mtoa mada kaongelea mapambano ya korona..kunawa mikono mara kwa mara..maeneo yote..haya bank.maofisin na n.k bila vitirirsha maji temporaly kama ndoo unawezaje..maj tiririka unayosema huko marekan utayakuta wash rooms na jikoni..so unaenda bank kunawa ni lazima uingie choon..usitake danganya watu hapa..unaenda dukan.kunawa mikono lazima uende washroom ..wakat unasisitizwA kabla hujaingia kokote kuchangamana lazima unawe.na pia si kupaka sanitizer tuu kunawa maj tiririsha ni lazima..wamefail hapo na ndomana wanakufa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna koki za maji tiririka kila baada ya mita 3?Pole sana mkuu.wewe marekani unakojua hakuna maji au sanitizer ni marekani ipi na umejuaje kuwa Mimi Marekani sikujui?
Kuna koki za maji tiririka kila baada ya mita 3?Are you kidding?
Huku niliko hadi barabarani kuna mabomba ya maji ambako yanamwagika 24HRS ndivyo walivyoyaunda. (Sijasema wananawa haya)
Na tena sehemu kama hii ya chuo, unapoingia kwenye hall yoyote kuna mamashine kama fridge za ku-buy snacks chini yake kina sensa ambazo hazionekani unakanyaga hapo hivyo vipombe vinatoka unapakaa mikononi.
Unapoenda kwenye malls au store mbalimbali (bado zina operate) ila serikali ya jimbo wameweka restrictions za umbali wa kutembea, unanawa kwa mtindo huu huu. Hushiki chochote hata unapofanya malipo you don't touch anything!