Dar es salaam inachanganya sana

Dar es salaam inachanganya sana

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
133
Reaction score
175
Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?

HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?

Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?

ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?

COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?

MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?

SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?

Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?

Hii Mipaka Ikoje Ikoje!?
 
Dar kila kitu ni uzushi uzushi tu
 
ITV iko mwenge ila radio One ndo iko mikochen
 
Ile mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
Mtu wa system alafu haujui mitaa ya kariakoo🤔🤔🤔.
Kuna ndugu yangu Yuko huko.anajua vichochoro vyote vya dar.
Yule mwamba anatembea
 
Kusanyeni maswali tuwapelekee wafuatao:-
-watendaji wa kata na mitaa wanazo ramani,
-maafisa mipangomiji kwa utaalamu wao watatoa elimu.kl
-wenyeji wa sehemu husika/viongozi k.m wajumbe, wenyeviti wa serikali za mitaa na madiwani watupe historia na uelewa wao wa mipaka.
 
Hivi BAMAGA ni Mwenge Au Sinza!?

HONGERA BAR ni Sinza Au Kijitonyama?

Chuo Cha Ustawi Ni Sinza Au K'ijitoNyama?

ITV Iko Mikocheni Au Mwenge?

COCO BEACH Iko Masaki Au Osterbay?

MLIMANI CITY Iko Ubungo Au?

SAYANSI Iko Kijitonyama Sasa Kwanini ROSE GARDEN Ni Mikocheni?

Clouds FM Ni Mikocheni Aaaf Kwanini EFM Ni Kawe !?

Hii Mipaka Ikoje
Ile mitaa ya kariakoo me ndo inaniacha hoi sijui mtaa wa agrey mara msimbazi mara uhuru jangwan mtaa wa kongo mtaa wa swahili yaan iyo mitaa sijuinmipaka yake ni ipi
Agrey na rikoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom