FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,137
- 40,813
Kuna vitu vingine ukikaa na kutafakari kwa kina, utagindua kwamba akili zetu huwa zinapenda kuigana, na ni akili chache huwa zinakuwa proactive kufanya jambo jipya na akili zingine huishia kuiga tu.
Tunaambiwa hivi virusi vya Corona vinaambukiza kwa kupitia Pua, mdomo na macho,? hivyo siku moja nikajiuliza, ni kwanini basi watu wote tusilazilishwe kuvaa barakoa kwa lazima ili kuziba mdomo na pua?
Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf - JamiiForums
Baada ya Makonda kunisikia na kuweka ulazimanwa kila mwananchi Dar kuvaa barakoa, siku 2 tu baadae tukaanza kusikia Rwanda nao wakiiga kwa kuweka sharti hilo la kuvaa barakoa.
Sasa basi, kwakuwa na macho yanatumika kama njia ya kuambukizana naomba liwekwe sharti la kuvaa ile miwani ya plastiki (clear plastic/glass) kwa kila atakaeenda mjini au sehemu yenye movement kubwa ya watu, na baadae ikishazoeleka iwe ni lazima kwa kila mtu jijini Dar.
Sasa niambe, mtu alievaa barakoa na miwani, anapataje / anaambukizaje Corona?
Natoa wiki moja tu. NB: Sitaongeza muda