Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Mkazi wa makabe anayeitwa Neema amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.

Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba hakuwa mwaminifu kwa ndoa yao.

Mtuhumiwa amekamatwa yuko Chini ya ulinzi wa Jeshi la polisi.

Poleni wafiwa
Wivu ni mbayaView attachment 1855849
Mumewe ni huyu

View attachment 1856008

Kabla ya tukio alipost haya Instagram
View attachment 1856009View attachment 1856010
Demu lenyewe BAYA
 
Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa
Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu.

Unamharibu na kumharibia mengi.. Ila kwakuwa wewe ni wake anaridhia kiroho safi kabisa na bila kinyongo

HALAFU unakuja kumletea zinazomchoma moyo na kumuumiza hisia...! Muogope sana mwanamke aliyejeruhiwa
Sahihi kabisa kaka. Hawa wenzetu ni wavumilivu sana ukiwa nao fair, ila ukimzingua, huwa wana maamuzi ya ajabu sana. Binafsi hata katika maisha ya kawaida, huwa sipendi quarrel na mwanamke, huwa wana maamuzi ya ajabu sana hawa viumbe!

Kisaikolojia wanasema mwanamke hupenda kumuona adui yake wa kike akiteseka, ila adui yake wa kiume wao hummaliza sababu wanajua hawana nguvu za kimaumbile kupambana nao.
 
Huyu dada namfahamu vizuri, na muda mrefu nilimuona ana matatizo fulani ya kisaikolijia isipokuwa inavyoonekana jamii inayomzunguka ilimchukulia kama mtu fulani mkorofi so akakosa tiba sahihi. Hata ulikuwa ukienda pale njia panda ya makabe alipokuwa anauza kongoro alikuwa ni mtu mkorofi mkorofi hivi, kidogo tu kagombana na mteja. Huyo zungu hakuwa mumewe bali hawala tu, kilichomuuzi nafikiri ni kugundua kwamba zungu alikuwa na mwanamke wake mwingine na mtoto.
kweli dunia kijiji kumbe unamjua
 
Ukishaona dada ana nyonyo kubwaaaa...ni nadra sana kuwa na traaako...

Nilisoma hiyo kwenye katiba ya chama cha mabaharia, kipengele cha picha za selfie za wadada
Naongezea ukishaona dada amepinda mgongo kuja mbele. Namaanisha akitembea kifua kinataka kuonekana mbele kama vile yuko kwenye gwaride. Kama unaenda kwake hakikisha suala la tako sio kipaumbele

Hiki ni kipengele kwenye hicho kifungu cha katiba hiyo
 
Yah mkuu ulichoandika hapa kinawezekana.

Inadaiwa walikuwa kwenye relationship zaidi ya miaka saba halafu mwanaume akamkataa bint alikubali ila hizi rabsha za kuchomana moto zilianza muda mrefu kuna siku alimfata kwao kabeba gallon ya petrol kilichosaidia akawa amesahau kiberiti wakamkimbiza sasa jana kamuita kampa offer ya bia kaenda kutekeleza kisasi chake

Mkuu ni makabe eneo gani hilo?? Maana asbh nimepita hapo sijaona wala kusikia. Nakuja kuona status tu wanazengo wanapost
 
Mkuu huyu ndiye yupo na Vicky pale njia panda kulia kama unaelekea Msakuzi?

Baba yake ni jirani yangu kabisa japo familia yake imemeguka vipande vipande sasa amehamia kibamba hata hiyo nyumba iliyoungua jana baba yake ana share na jamaa mmoja yupo kijijini kwa sasa
Ndio huyo huyo mkuu. Nadhani changamoto za familia yao zina mchango mkubwa katika wakati mgumu aliokuwa nao huyu dada
 
Back
Top Bottom