platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,538
Au hujjawahi kuulizia, ama HUJUI KINACHOENDELEA MIKOANI (huko ukuitako mikoani)!!!!! Japo ninaishi Dar nafahamu wapi huduma hizi zinauzwa mikoani kwa style hii hii kama ya Dar!!!!
Sijasikia Mwanza, Dodoma ama Morogoro au Mtwara. Ingawa najua kuna wale wanaojiuza barabarani usiku ama kwenye
Guest/Kumbi za disco