kiufupi mwalim alitulea kama watoto wake,,,leo utandawazi bado tunaota serikali itatuletea maendeleo mpaka nyumbani,hilo tusahau jamen,,,maisha yanaboreshwa na mtu mwenyewe hakuna siku serikali au raisi atayaleta mlangoni kwako,,,tuangalie fursa tujisaidie maishani,,ujue hata hizi kampuni zimekuja kufanya biashara sio kusaidia,,ukielewa hilo wala hupati shida inakuongezea machungu ya kupambana na maisha zaidi,,,tuwaige wachaga wao hawaitegemei serikali,,serikali ikija inakuta walishaanza siku nyingi yenyewe inamalizia,,,mfano maji barabara mashule hospitali,,kipato nafikiri wako vizuri kama sio wanaongoza,,,