Nimenunua cement ya dangote jana maeneo ya Madale, bei ni 11500 tu, lakini Ile ya Twiga plus ilikuwa 12000. Sasa hapo Mwenge siwezinfahmu ni kwann bei imekuwa hivyo.Hardware za hapa Mwenge jirani na Lugalo ni 15,000 mpaka 20,000
Nimenunua cement ya dangote jana maeneo ya Madale, bei ni 11500 tu, lakini Ile ya Twiga plus ilikuwa 12000. Sasa hapo Mwenge siwezinfahmu ni kwann bei imekuwa hivyo.Hardware za hapa Mwenge jirani na Lugalo ni 15,000 mpaka 20,000
Ni kampuni imbayo ilivumishwa kama mwokozi kwa mnyonge. Sementi zake zingeuzwa sh. 5000 soon. Leo zinauzwa 15000. Mbaya zaidi, kampuni ya Dangote inatuhumiwa kwa kukwepa kodi na pia kuwanyanyasa wafanyakazi
Mbaya zaidi, kampuni ya Dangote Haina mchango wowote kwa jamii. Vijiji vya jirani na Dangote, havina, maji, wala umeme. Wala hakuna huduma za Afya huku ardhi yao kubwa sana imechukuliwa na kampuni hii ya cement. Je Dangote inafaida gani kwa watanzania?
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio...Ndio maana wanaoana wanaume watupu!
Wewe kaa kimya kabisa, serikali isije ingilia kati na kutoa bei elekezi, halafu cement ikapaa mpaka 35,000/=Hardware za hapa Mwenge jirani na Lugalo ni 15,000 mpaka 20,000
Na alipaswa bwerere kwa vile ni muislam. Kwanini kusemwa isojinasibu hivyo.hivyo.Akija yule bibi atasema unasema hivo sababu dangote ni muislam
BADO Sio 5000Cement ya Dangote ni 10,000
Wewe unajua wamejiri watu wangapi? Na mishahara yao ipoje ukilinganisha na wageni? Wewe unajua kodi kiasi gani na stahiki ? Au ndie zile tabia zenu za kulinda akina bakhresa na kuwashambulia akina mengi. Leo majibu mnabadili eti ana makampuni mengi hadi hajui watendaji wake ndio wanapiga. Cha kushangaza hela zake anazijua na ni nyingi kuliko idadi ya kampuni. Mbaya zaidi makampuni yanasimamiwa na watoto .Huu ni uchonganishi,lindi cement sio 15000,kilwa nimenunua 12000,...mtoa mada kila kampuni ina utaratibu wake wa CSR,sasa usilazimishe uone shule,hospitali na bararara zilizojengwa na dangote katika muda unaoutaka wewe,unasema hakina faida lakini hujui kimeajiri watu wangap wakati kinajengwa na hivi sasa,hujui kinalipa kodi ya kiasi gani kwa serikali.
Wewe unajua wamejiri watu wangapi? Na mishahara yao ipoje ukilinganisha na wageni? Wewe unajua kodi kiasi gani na stahiki ? Au ndie zile tabia zenu za kulinda akina bakhresa na kuwashambulia akina mengi. Leo majibu mnabadili eti ana makampuni mengi hadi hajui watendaji wake ndio wanapiga. Cha kushangaza hela zake anazijua na ni nyingi kuliko idadi ya kampuni. Mbaya zaidi makampuni yanasimamiwa na watoto .
Usitoke nje ya mada,habari za Mengi zimetoka wapi,au unajifunza kubadili gia...get your facts straight, issue hapa ni bei ya cement na corporate social responsibility kwa dangote. You need a little knowledge about corporate world. Vinginevyo hatuwezi kuelewana.Wewe unajua wamejiri watu wangapi? Na mishahara yao ipoje ukilinganisha na wageni? Wewe unajua kodi kiasi gani na stahiki ? Au ndie zile tabia zenu za kulinda akina bakhresa na kuwashambulia akina mengi. Leo majibu mnabadili eti ana makampuni mengi hadi hajui watendaji wake ndio wanapiga. Cha kushangaza hela zake anazijua na ni nyingi kuliko idadi ya kampuni. Mbaya zaidi makampuni yanasimamiwa na watoto .
Mwehu wewe..ndio ume andika nini hapa. Hiyo corporate social responsibility naijua kabla serikali yako ya Ccm kujua. Narudi jibu maswali yangu km niliyo kuuliza dangote kwanyie hakuna tofauti na bakhresa. Nitapiga debe sana.Usitoke nje ya mada,habari za Mengi zimetoka wapi,au unajifunza kubadili gia...get your facts straight, issue hapa ni bei ya cement na community social responsibility kwa dangote. You need a little knowledge about corporate world. Vinginevyo hatuwezi kuelewana.
Kwa hiyo kisingizio cha ajira si kikubwa cha kujivunia sana.Dangote mpaka kupakia Cement kwenye maroli inapakiwa naashine maalumu na inapakia mifuko elfu 6 ndani ya dakika 5 tu.. Kila kitu pale ni mashine.. Sehemu pekee inayohitaji wafanyakazi wengi ni logistic tu.. Na mpaka sasa kiwanda kipo kwenye uzalishaji wa majaribio..
Mkuu sio serikali yangu,ni serikali yetu,hayo magari ya dangote yanaendeshwa na wanigeria? Afu bakhresa ametoka wapi tena,acha kubadili gia,katika hii generation utawashangaza wengi ukisema kwamba automation ni unyonyaji,elewa technology ndio inaendesha dunia ewe wild beast,sasa unamlaumu dangote kujitengenezea umeme afu unataka dangote asitumie technology eti kisa aajili watu wengi!..ubongo umempa nani akushikie!?Mwehu wewe..ndio ume andika nini hapa. Hiyo corporate social responsibility naijua kabla serikali yako ya Ccm kujua. Narudi jibu maswali yangu km niliyo kuuliza dangote kwanyie hakuna tofauti na bakhresa. Nitapiga debe sana.
Kwa taarifa yako dangote ku tengeneza umeme wake,magari yake , automation etc ili kupunguza gharama. Na huyu hupunguza gharama ni muhimu sana. Sijui km una maelezo hapo.
Serikali yako na wenzio mna komaa kuitetea na kuhakikishia imebaki na kuendelea kuwepo.Mkuu sio serikali yangu,ni serikali yetu,hayo magari ya dangote yanaendeshwa na wanigeria? Afu bakhresa ametoka wapi tena,acha kubadili gia,katika hii generation utawashangaza wengi ukisema kwamba automation ni unyonyaji,elewa technology ndio inaendesha dunia ewe wild beast,sasa unamlaumu dangote kujitengenezea umeme afu unataka dangote asitumie technology eti kisa aajili watu wengi!..ubongo umempa nani akushikie!?