MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,174
Ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 umeonyeshwa leo huko Zambia kwani hadi hivi sasa matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo huko zambia wa urais unaonysha kuwa chama tawala cha MMD(Movement Multipart Democracy) kilicho chini ya Rupiah Banda kiko nyuma kwa kura kwa wastani wa asilimia 16% dhidi ya 78% ya chama cha upinzani cha PF(Patriotic Front) kilicho chini ya Michael Sata, hii ni dhahili kuwa wananchi wamechoshwa kwa kudanganywa na vyama vilivyoko madarakani,, kwa matokeo zaidi fuatilia MUVI TV YA ZAMBIA,,
Hadi naondoka mitamboni matokeo yalikuwa kama ifuaatavyo kwa mikoa yao,
Michael Sata PF, chama cha upinzani Rupiah Banda MMD chama tawala sasa.
10271 2912
9642 2794
20768 3901
14730 4509
20391 3637
10271 2912
14224 3142
13241 2317
9875 1543
16748 4323
15743 2754
Muda huu niko job mwenye matokeo zaidi kutoka MUVI TV atujuze ila hiyo ni salamu kwa CCM kutoka Zambia mnamo mwaka 2015,
Watu wa Zambia wanasema one Zambia one nation, no one can own Zambia Forever si maneno yangu bali ni maneno ya wapiga kura waliokuwa wakiimba ndani ya MUVI TV leo huko zambia.