nrongalema
Member
- Apr 11, 2011
- 48
- 5
Kiongozi wa upinzani nchini Zambia mh. Michael Sacha amechaguliwa na kutangazwa mshindi wa Urais nchini humo..Je cc tuko karibu hivyo..? Tunaye Michael Sacha hapa kwetu..?
una maanisha Tanzania kuna rais mstaafu aliyewahi kushitakiwa?????????Haya tuendelee kuishi kwa matumaini. Lakini zambia hakuna aliyekwidwa gauni wala shati. Ustaarabu mtupu
Ushindi wa CHADEMA kuingia ikulu 2015 umeonyeshwa leo huko Zambia kwani hadi hivi sasa matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo huko zambia wa urais unaonysha kuwa chama tawala cha MMD(Movement Multipart Democracy) kilicho chini ya Rupiah Banda kiko nyuma kwa kura kwa wastani wa asilimia 16% dhidi ya 78% ya chama cha upinzani cha PF(Patriotic Front) kilicho chini ya Michael Sata, hii ni dhahili kuwa wananchi wamechoshwa kwa kudanganywa na vyama vilivyoko madarakani,, kwa matokeo zaidi fuatilia MUVI TV YA ZAMBIA,,
Hadi naondoka mitamboni matokeo yalikuwa kama ifuaatavyo kwa mikoa yao,
Michael Sata PF, chama cha upinzani Rupiah Banda MMD chama tawala sasa.
10271 2912
9642 2794
20768 3901
14730 4509
20391 3637
10271 2912
14224 3142
13241 2317
9875 1543
16748 4323
15743 2754
Muda huu niko job mwenye matokeo zaidi kutoka MUVI TV atujuze ila hiyo ni salamu kwa CCM kutoka Zambia mnamo mwaka 2015,
Watu wa Zambia wanasema one Zambia one nation, no one can own Zambia Forever si maneno yangu bali ni maneno ya wapiga kura waliokuwa wakiimba ndani ya MUVI TV leo huko zambia.
Hata Prof. lipumba hajagive up lakini yu wapi?.Slaa ni kikongwe hatuko tayari kufanya mazishi ya rais akiwa madarakani huu ni upotezaji wa rasilimali.Afadhali ya JOHN POMBE MAGUFULI anaouzoefu serikalini kama SATTA na anao msimamo huwezi ukamlinganisha na slaa hata kidogo.Slaa si mtu wa kuunganisha watu.
..... Kwa maana hiyo na kwa ulinganifu wako sioni mtu aliyegombea mara moja akashinda mara ya pili!!
.Slaa ni kikongwe hatuko tayari kufanya mazishi ya rais akiwa madarakani huu ni upotezaji wa rasilimali.
Afadhali ya JOHN POMBE MAGUFULI anaouzoefu serikalini kama SATTA na anao msimamo huwezi ukamlinganisha na slaa hata kidogo.
Slaa si mtu wa kuunganisha watu.
why are you guys scared of this man, Slaa? It make me wonder! Anyway I read somewhere that Satta is 74 and I don't think Slaa is there yet. So in your post the age is not the issue and the real issue is hidden!Hata Prof. lipumba hajagive up lakini yu wapi?.Slaa ni kikongwe hatuko tayari kufanya mazishi ya rais akiwa madarakani huu ni upotezaji wa rasilimali.Afadhali ya JOHN POMBE MAGUFULI anaouzoefu serikalini kama SATTA na anao msimamo huwezi ukamlinganisha na slaa hata kidogo.Slaa si mtu wa kuunganisha watu.
Mkuu, naomba utupatie link na sisi tuweze kuangalia kinacho endelea huko.... Nimejaribu kutembelea tovuti ya tume yao ya uchaguzi sijaona chochote kuhusiana na matokeo Welcome :: Electoral Commission of Zambia
http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-15029463
LINK HIYO KWA BBC...USIANDIKIE MATE NA WINO UPO
Niko huko kwaiyo naweza toa mchango wangu.
Zambia kuko kama Tanzania tu kuhusu wapinzani kugombana. Vyama vidogo vodogo vya upinzani vilikuwa vinamkejeli Michael Sata na PF yake. Ilikuwa kama walikuwa wametumwa na chama tawala.
Pili. Chadema inaweza pata ushindi hata kwa katiba iliyopo. Zambia kulikuwa na malalamiko ya miaka mingi kuhusu katiba lakin serikali iliziba masikio na mda mwingine kucheza dana dana.
Kinachotakiwa ni Chadema kuondelea na harakati za kuelimisha wananchi. Zambia kimeelewa kataka katiba tope, Tanzania pia. Dr. Slaa, usikate tamaa. Sata alishindwa mara 3, ya 4 amepata[/QUOTE
Si rahisi kwa Chadema ama chama chochote cha upinzani kushinda katika mazingira tuliyonayo; tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguz vinginevyo yatakuwa yakijirudia tu.
Chama
Gongo la Mboto DSM