Dalili za kujua kama umeanza kuwa kichaa

Kwani kichaa anajitambua?yawezekana mleta mada naye yupo kwenye kundi hlo la vichaa
 
1. Unafikiria mipango mikubwa lakini haujishughulishi kabisa wewe ni wakulala tu.

2. Kila ukiona wenzako wanaojituma wanafanya mambo makubwa kimaisha wewe lazima ujisemeshe kuna mkono wa freemason

3. Wewe kila post ni kubishia tu hata hii unaweza ukakuta unaijadili siku nzima na kusahau wajibu wako wa siku.

4. Wewe ni mzee wa kuropoka ropoka tu mkigombana na mpenzi wako mpaka mambo ya ndani bilakujua na wewe unajichora

5. Ukipigwa kibuti tu kazi haziendi na unaweza kupatwa na malaria juu

6. Kila kinachokusibu lazima ukiweke FB kama vile FB ndio wanaokusaidia vile.
8.Kila biashara kubwa Tanzania ni ya Ridhiwani.
 
Kwani kichaa anajitambua?yawezekana mleta mada naye yupo kwenye kundi hlo la vichaa

kweli mkuu, hususani utafiti wake unapoonyesha malaria inaambukizwa kwa njia aliyoiainisha kwenye #5 .
 
kichaa ni nini ?
na unaongelea kichaa cha aina gani?
MstahikiMeya
 
Last edited by a moderator:
1. Unafikiria mipango mikubwa lakini haujishughulishi kabisa wewe ni wakulala tu.

2. Kila ukiona wenzako wanaojituma wanafanya mambo makubwa kimaisha wewe lazima ujisemeshe kuna mkono wa freemason

3. Wewe kila post ni kubishia tu hata hii unaweza ukakuta unaijadili siku nzima na kusahau wajibu wako wa siku.

4. Wewe ni mzee wa kuropoka ropoka tu mkigombana na mpenzi wako mpaka mambo ya ndani bilakujua na wewe unajichora

5. Ukipigwa kibuti tu kazi haziendi na unaweza kupatwa na malaria juu

6. Kila kinachokusibu lazima ukiweke FB kama vile FB ndio wanaokusaidia vile.
nawewe mzima kweli mbona unatia mashaka hiv
 
9 kuamini baba slaa ndio rais. 10. Kila dem mzuri ni malaya au ana ukimwi. 11 pesa ndo kila kitu kwenye mapenzi. 12 kila mwislam ni Gaidi.
 
Alieleta hii mada nae anaumwa kichaa, tukampime
 
Muulize PDIDY atakupa dalili nyingine.
Maana yeye Mirembe ndio kama nyumbani kwake,na kama huamini subiri jibu lake linafuata
 
Na yule ambaye akila chips anasema nguvu za kiume zinapungua
 
hakuna dalili hata moha hapo ila umetaja baadhi ya tabia za watu.....
 
Back
Top Bottom