Dalili za kujua kama umeanza kuwa kichaa

Dalili za kujua kama umeanza kuwa kichaa

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
1. Unafikiria mipango mikubwa lakini haujishughulishi kabisa wewe ni wakulala tu.

2. Kila ukiona wenzako wanaojituma wanafanya mambo makubwa kimaisha wewe lazima ujisemeshe kuna mkono wa freemason

3. Wewe kila post ni kubishia tu hata hii unaweza ukakuta unaijadili siku nzima na kusahau wajibu wako wa siku.

4. Wewe ni mzee wa kuropoka ropoka tu mkigombana na mpenzi wako mpaka mambo ya ndani bilakujua na wewe unajichora

5. Ukipigwa kibuti tu kazi haziendi na unaweza kupatwa na malaria juu

6. Kila kinachokusibu lazima ukiweke FB kama vile FB ndio wanaokusaidia vile.
 
hahaha kuna mtu yupo njiani anakuja kubisha mada yako ili kuthibitisha maelezo ya # 3.
 
7.Kila siku unalalamika unaonewa wewe tu yaani wewe ni Mzee wa ku take kila kitu ,You fall in other peoples plan
 
Kwahiyo MSALANI na Rutashobollwa wamehitimu au ndio amateurs.
 
Last edited by a moderator:
namba 6 nadhani ndo ukichaa uliopitiliza ambapo hata Milembe hautibiki
 
Huyu alieleta hii thread aanze kupimwa akili yy maana sioni cha mhimu alichoandika..... Hii inawahusu vipi wale wasiotumia social media? Inawahusu vipi wassio kwenye mahusiano?
 
1. Unafikiria mipango mikubwa lakini
haujishughulishi kabisa
wewe ni wakulala tu.
2. Kila ukiona wenzako wanaojituma
wanafanya mambo
makubwa kimaisha wewe lazima ujisemeshe
kuna mkono wa
freemason
3. Wewe kila post ni kubishia tu hata hii
unaweza ukakuta
unaijadili siku nzima na kusahau wajibu wako
wa siku.
4. Wewe ni mzee wa kuropoka ropoka tu
mkigombana na
mpenzi wako mpaka mambo ya ndani
bilakujua na wewe
unajichora
5. Ukipigwa kibuti tu kazi haziendi na unaweza
kupatwa na
malaria juu
6. Kila kinachokusibu lazima ukiweke FB kama
vile FB ndio
wanaokusaidia vile.

7. Kushindwa kuandika kiswahili fasaha badala ya dalili unaandika alili nayo ni 1wpo ya ukichaa
 
Dalili za kichaa pia ni kuandika vitu vya aina hii.
 
Huyu alieleta hii thread aanze kupimwa akili yy maana sioni cha mhimu alichoandika..... Hii inawahusu vipi wale wasiotumia social media? Inawahusu vipi wassio kwenye mahusiano?

mkuu no tatu inakuhusu coz ume mbishia mleta uzi
 
kuja kupost jamii forum sababu za mtu asiyejielewa na kuaminisha watu et n dalili za ukichaa.hyo n dalili kuu
 
hallucination kuwa kuna vitu unaviona au watu wanakufuatilia
 
Kama hiyo namba 6 kweli ni ukichaa, basi vichaa wengi hapa JF wanapatikana kwa wingi kule MMU.
Kwa sababu akiulizwa tu na mpenzi kwa nini unanuka kikwapa, basi ni lazima aje awasimulie memba wenzake kule.
Watakuja hapa kutoa povu manake wana ushirikiano kweli wale watu.
 
Back
Top Bottom