Nkanaga
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 653
- 623
Sijaona hizo dalili tajwa hapo juu mkuuWe mchokozi
Sijaona hizo dalili tajwa hapo juu mkuuWe mchokozi
WachacheUmejarbu wangapi..
Sio wote wasiotoa ushirikiano,mbinafsi anajali kwani??Kama hamtoi ushirikiano..
Ulikua hujui uanaume kazi eeh..ukitaka uheshimike rekebishaa..Hela upewe, na ukojoleshwe tena! Nani mbinafsi apo?
Okiiiiiiiiii kama nne nyingi sana....Dakika nne nyingi sana..Ukikutana na fundi..
Shida yenu Mnapenda vivulana Cku iz..
Halafu mnakarir story za salon...
Sample space yako ni ndogo for the conclusion...Wachache
Hizi topic za kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni ni serious kuna watu hawawezi? duh aisee ...
Hizi topic za kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni ni serious kuna watu hawawezi? duh aisee ...
Inasikitisha mkuu...Mi always naona ni masihara, Japo sometime hata dada zetu wanachangia kama kawaida wanataka perfomance itoke upande mmoja,sio wawazi then kuna wengine sio wasafi so unashindwa kumuandaa vizuri, mimi uwa nakua mkweli tuhili swali wanalijua sana wanawake,ni janga la kitaifa mkuu
[emoji23] [emoji23] JF raha sana jaman, free from stressni dalili nzuri pia,hasa kwa yule ambae hajazoea mchezo mchafu
Wengine wanaongea English japo akiwa kawaida hata "hi" hajui...Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu
Hua wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume hua tunajiskia amani sana kuambiwa umemfikisha mtoto wa kike kwani ni jambo la kishujaa kama trumph uchaguzi us
kwa uzoefu wangu,mwanamke aliefika kileleni hua anakua hivi bila hata kuuliza au kusubili kuambiwa
1.MWILI KUISHIWA NGUVU
mwanamke aliefika orgasm hua anaishiwa nguvu mwili baada ya safari ndefu ya mikito,ukiona baada ya sex msichana anauwezo wa kufanya kazi nzito nzito jua umefanya kazi butu sio mpaka uambiwe
2.KUPITIWA NA USINGIZI BAADA YA MECHI
ukiona ka beby kako kamepitiwa na usingiz gafla baada ya sex jua kaz imeenda sawia,ikumbukwe kufika orgasm ni mechanism inzito,
3.MUSCULAR CONTRACTION
mwanamke anaekalibia/ aliefika kileleni misuli hubana na kuachia ,hii ni kwa mwili mzima hadi kwenye vagina,hilitendo pia hufuatiwa na mwili kutoa jasho.
ukiona ivo ujue kazi zimeenda sawia
wakuu huu ni uzoefu wangu niliopata nikiwa field,
ukiona mpenz wako hajaonyesha izo dalili muhimu basi jua hakuna kitu
kama unajua dalili zingine zile kuu na muhimu tiririka
Tutokomeze fake orgasm tunazodanganywa na kupewa kiburi ili tutoe chapaa
nawasilisha
HoooAfu mijanaume mingine inakuuliza kabisa! Eti umekojoa? Yaani swali linaboa hilo
HESLBAisee kumbe ndiyo mambo yanavyokuwaga eti??? Hatutakupa tena field allowance kwani unaitumia vibaya
Tanzania ya Viwanda ileeeee....