Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,745
- 8,230
- Thread starter
- #61
Unakuta kwenye hizo siku tatu umeshapakia nyingine unaongeza siku za mzigo kuwepo tumboni...weekend unakuta umepakia za ijumaa,jumamosi na jumapili....unatembea na mzigo wa siku 12....kabla hujaisha weekend hii hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kwanini usitoke kitambi kwa mfano.Halafu nasikia inachelewa sana kusagwa tumboni, yaani inaenda hadi siku tatu bado iko tumboni....sasa kwa nini mtu usijambe na kuota vibaya vitambi.....na isitoshe wengi wao hatufanyi kazi za kuushughulisha mwili kwa kiasi cha kutosha.