Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
๐๐๐๐๐kweli ww ndebile aisee๐๐๐๐unapiga kimoja(me) fasta unakimbilia kwenye friji kuchukua maji ya kunywa ili kupoza rejeta....mi mafuta ianchemka!
๐๐๐๐๐kweli ww ndebile aisee๐๐๐๐unapiga kimoja(me) fasta unakimbilia kwenye friji kuchukua maji ya kunywa ili kupoza rejeta....mi mafuta ianchemka!
๐๐๐๐nasemwa hapa๐๐Au ukipanda ngazi tatu tu unakaa kwanza upumzike...jasho umelowa mgongo mzima
hahahahahahngoja nimalizane kwanza na hizi mbuzi za mgombani huu uzi ntaurudia tarehe moja
Nikifululizaga nyama choma na bia namba tatu hunikuta sana.!Wakati huu wa mapumziko watu tuleeee,,,,tunyweeeeeeee...Ila tukumbumbushane mambo kadhaa...Dalili ambazo zitakusaidia kufahamu kuwa unaongezeka uzito/unene ni;
1.Kula sana zaidi ya kiasi ulichokuwa unakula kipindi cha nyuma kutokana na kuwa na njaa mara kwa mara.
2.Nguo kubana; yaani hapa unajaribisha nguo kama zote kabla hujaamua ipi ya kuvaa wakati wa kutoka.
3.kujamba sana na mara kwa mara (hata ukiwa umelala)
4.Watu wa karibu nawe au wanaokufahamu kuamza kukuita bonge.
5.Ngozi kung'aa; hapa ni kutokana na mwili kuongezeka.
Nyingine wadau muongezee wenyewe....
umenenepa imekuwa kama salamu.. mwenyewe nshawachoka!!Sili mchana siku hizi kukwepa maneno ya Mbona umenenepa sana..Kila ninaekutana nae hakuna kipya zaidi ya hilo swali
hahahajhhahahaNikifululizaga nyama choma na bia namba tatu hunikuta sana.!
Huwa najishitukia mwenyewe nakata kula nyama choma, ila huwa napata tabu kukata bia hata kwa wiki.!,,,ukiona mawingu....
Yaani kuna wakati unafululiza ugali nyama choma na Serengeti lite baridiiiii baadae unawaza hizi nyama nilizokula mpaka sasa hivi matokeo yake nikilala au ninapoamka asubuhi...Huwa najishitukia mwenyewe nakata kula nyama choma, ila huwa napata tabu kukata bia hata kwa wiki.!


Hilo la kimoja na kugeukia ukuta sijui kama ni sababu,Kuanza kuhisi uchovu na mwili kuwa mzito,kupenda kulala lala,ukipiga kimoja ukigeukia ukuta kuamka ni Kesho saa mbili tena Kwa msaada wa alarm
Hahaaunapiga kimoja(me) fasta unakimbilia kwenye friji kuchukua maji ya kunywa ili kupoza rejeta....mi mafuta ianchemka!
Halafu ujinga wa nyama choma ukienda choo hupati kulingana na ukivyokula, yaani umekula nyama za kutosha halafu choo hata hakieleweki,...inakera sana.!Yaani kuna wakati unafululiza ugali nyama choma na Serengeti lite baridiiiii baadae unawaza hizi nyama nilizokula mpaka sasa hivi matokeo yake nikilala au ninapoamka asubuhi...![]()
Hii safi sana ..Sidhani Kama itakusaidia sana Mkuu. Mchana kula vizuri.... Usiku kula Matunda pekee .
Nyama inatumika sana kwenye mwili ndio maana...alafu huwa tunailainisha kwa bia hapo mwili unakuwa hauna maji ukienda ofisi kubwa unatoa kipisi kidogooooooo....unashangaa ile nyama yote iko wapiHalafu ujinga wa nyama choma ukienda choo hupati kulingana na ukivyokula, yaani umekula nyama za kutosha halafu choo hata hakieleweki,...inakera sana.!


Halafu nasikia inachelewa sana kusagwa tumboni, yaani inaenda hadi siku tatu bado iko tumboni....sasa kwa nini mtu usijambe na kuota vibaya vitambi.....na isitoshe wengi wao hatufanyi kazi za kuushughulisha mwili kwa kiasi cha kutosha.Nyama inatumika sana kwenye mwili ndio maana...alafu huwa tunailainisha kwa bia hapo mwili unakuwa hauna maji ukienda ofisi kubwa unatoa kipisi kidogooooooo....unashangaa ile nyama yote iko wapi![]()
Wanazingua balaa...umenenepa imekuwa kama salamu.. mwenyewe nshawachoka!!




Bora ukondee tuuNazingatia mkuu.. Kuku wa kisasa..Mayai..Chips hizii.. Nyama chomaa yani sigusiii..!! Now najifeel kupungua kabisa.. hata Nguo zilizokuwa zinanibana now at lst... Unene mbaya sanaKutokula mchana hakutokusaidia endapo unapokula huzingatii chakula ulacho