Dalili kwamba umenenepa

Dalili kwamba umenenepa

Umesahau kusinzia hovyo, hii ni dalili kubwa pia.

Mtu unapiga nae stori mara unasikia mkoromo "kruu druu kruuu druuu".
 
eti wakati we unajichukia nanunaona kabisa umeelemeww na mwili halafu unakutana na mwana anakuambia naona mambo sio mabaya full shavu daah namchekiiii halafu kimoyo moyo nammegea tusi naona kama ananikejeli na mana muda wote niko na chupa la maji kubwa na kitaulo cha jasho begani mwili mkubea unatesa sana walahi,sasa mtihani muda wa kuvaa viatu,soksi au kukata kucha za miguuni
nmecheka kwa nguvu

Sent from Nokia 7 Plus
 
Umesahau kusinzia hovyo, hii ni dalili kubwa pia.

Mtu unapiga nae stori mara unasikia mkoromo "kruu druu kruuu druuu".
,aisee,kwamba "kruu druu-kruu druu".

Sent from Nokia 7 Plus
 
Halafu hili suala la unene linaongewa kirahisi sana na kila mtu.Utasikia punguza kula,Fanya mazoezi.

Kwanza kupunguza kula sio tiba ya kupunguza unene.

Na pili kufanya mazoezi hakusaidii kupunguza unene.

Unahitaji kujua ule nini na si suala la kula kidogo tu.Kazi ya mazoezi ni kuimarisha msuli wa mwili tu.

Katika kupunguza uzito,kuchagua aina ya chakula kunachangia kupunguza uzito kwa 70% na mazoezi ni 30% tu.

Unahitaji kujifunza kuhusu insulin resistance.Hii ikishatokea,huwa ni vigumu sana kupunguza uzito.Ila unatakiwa kujifunza kuishi na uzito mkubwa.

Ni somo refu nitaendelea Siku nyingine nikipata muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mtaalamu..tunatamani somo zaidi

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom