Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Alafu faza hausi akiamua kutafuta kipotabo kandi wakukisaidia kazi unakuja juu kama moto wa kifuu,haya basi fanya mazoezi hutaki,basi punguza bia hutaki,sasa tunashindwa kuelewa mnatakaje.
😂😂😂😂alafu wife akiamua kutafta mbav za mbwa nje mnakujaga juu kweli kweli..bas punguza bia,avha kula junk food ,acha bangi na masigara hamtaki😊..hamuelewek kbs mnataka nn kwetu

..hamuelewek kbs mnataka nn kwetu
